Si unajua ni rahisi kumtawala masikini

Si unajua ni rahisi kumtawala masikini

LellozWho

Member
Joined
Jul 13, 2021
Posts
89
Reaction score
122
Wengi tunadhani maskini ni mtu pekee aliyekosa mahitaji muhim.

Lakini ukweli ni zaidi ya hapo.

Unajua hizi pia ni sifa za masikini?

1/kushindwa “kufikiria” uzalishaji mali.
2/uvivu
3/kuridhika na ulichonacho
4/kushindwa kua tofauti na wengine.
5/kushindwa kuishi mbali na mazingira hatarishi.
6/kushindana na wasiokuzidi kwa uwezo
7/kutojua kesho yako
8/kukosa kujiamini
9/kuendekeza UJAMAA.
10/kukosa Maamuzi kamili(msimamo)
11/Kutoa lawama kwa wengine.

Mengine mengi..

Je..kama unayo tabia moja apo, huoni wewe ni kivutio cha kutawaliwa?

Nikudokeze:
Wanasiasa ndipo walipotuwezea hapo.

#Open mind always win.
 
MTAHAYO 7:7-8.

"Ombeni, nanyi mtapewa; tafuteni, nanyi mtaona; bisheni, nanyi mtafunguliwa; kwa maana kila aombaye hupokea; naye atafutaye huona; naye abishaye atafunguliwa.

Mimi sio maskini kamwe! sababu Baba yangu Mungu muumba mbingu na nchi ni Mkuu kuliko milki za kifahari, majumba, mali, wafalme, watawala mbali mbali katika hii dunia.

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
mkuu ni baba yako ulomtaja

Vipi wewe?!
 
mbinu inayotumiwa na watawala wa ccm ni kuwafanya wananchi wake wawe masikini ili watawaliwe kirahisi, ebu angalia mikoa yenye umasikini uliokisili ndiko kuliko na wafuasi wengi wa ccm, ni mazuzu wachache waliopo mijini wanao shabikia ccm
 
Back
Top Bottom