Si ustaarabu kupiga mswaki nje ya nyumba huku umevaa kibukta kifupi tumbo wazi

Wamepata ujumbe hata kama vifua wamejazia na mazoezi hatutaki kuwaona.
 
nyumba za uangajini hizo unakuta bafuni kunamtu au mfumo wa kutoa maji taka sio mzuri unaanzaje kwenda kupigia mswaki humo? kama unanyumba yako safi na bado unatabia hiyo unapaswa urudishwe kijijini uwe unajisaidia porini kabisa
 
wale wanaopiga mswak nje ya nyumba hasa wanaume tena kandokando ya njia huku wamevaa vbukta vfup vimeishia kwenye mapaja na tumbo waz c ustaarab
Mbona kawaida tu huku kwetu mie huwa napiga mswaki nje asubuhi huku nimejifunga taulo kifua wazi na kitambi changu
nakutana na baba mwenye nyumba naye anapiga mswaki amejifunga kitenge cha mkewe kifua wazi na hivi mwembamba vimbavu vinahesabika!
Muda huo akipita mtu hunisalimia kwanza mimi
 


hahaaaaa mule mule mkuu
 
Buku 7 hizo zinakunenepesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…