Si ustaarabu kupiga mswaki nje ya nyumba huku umevaa kibukta kifupi tumbo wazi

Si ustaarabu kupiga mswaki nje ya nyumba huku umevaa kibukta kifupi tumbo wazi

Mimi hilo la mavazi siyo tatizo, tatizo ni anapopiga mswaki ndani ya dakika moja halafu brash za mswaki zimelalia upande kama njia ya ukoka.
 
Mimi hilo la mavazi siyo tatizo, tatizo ni anapopiga mswaki ndani ya dakika moja halafu brash za mswaki zimelalia upande kama njia ya ukoka.
Kwa mujibu wa dini ya kiislam ni kukaa uchi na dhambi juu:
 
Kuna Eneo Ninapoishi Mwenye Nyumba
Kajenga Nyumba Ya Kupanga Pembeni
Halafu Nyumba Anayoishi Yeye Ni Self
Ila Sasa Mkewe Asubuhi Lazima Aje Apige Mswaki
Nje.

Kuna Siku Nadhani Mtani Wake Akapita
Akamkuta Anapiga Mswaki Nje Ya Nyumba
Akamwambia Nawe Wifi Unatutia Aibu
Kaka Kujenga Nyumba Self Lakini Umetoka Nje Na Kanga Moja Kwanini

Wifi Akajitetea Eti Umbea Ningeuona Saa Ngapi Nikipiga Mswaki Ndani
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mbona kawaida tu huku kwetu mie huwa napiga mswaki nje asubuhi huku nimejifunga taulo kifua wazi na kitambi changu
nakutana na baba mwenye nyumba naye anapiga mswaki amejifunga kitenge cha mkewe kifua wazi na hivi mwembamba vimbavu vinahesabika!
Muda huo akipita mtu hunisalimia kwanza mimi
Mbavu zangu jamani!
 
Wale wanaopiga mswaki nje ya nyumba hasa wanaume tena kandokando ya njia huku wamevaa vibukta vifupi vimeishia kwenye mapaja na tumbo wazi sio ustaarabu.
Waafrica bado sana,hizo tabia nyingi zipo uswazini lakini wenye Sefu-Kontena aka Masta wanamaliza mambo yote ndani kwa ndani.
 
Tena unakuta sio baba mwenye nyumba ni mpangaji tu na mbwembwe zake
 
hii nayo ni habari kama habari nyingine
 
Back
Top Bottom