Si ustaarabu kupiga mswaki nje ya nyumba huku umevaa kibukta kifupi tumbo wazi

Si ustaarabu kupiga mswaki nje ya nyumba huku umevaa kibukta kifupi tumbo wazi

Hujui raha yake, huo ni utaratibu ambao tumeuiga tangu kwa babu wa babu zetu.
 
Hivyo vibukta vifupi unavyovikemea wadada ndio nguo zao za outing. Nenda pale Mlimani city utawakuta na vikaptula vifupi kama chupi na kifua wazi...
 
Wale wanaopiga mswaki nje ya nyumba hasa wanaume tena kandokando ya njia huku wamevaa vibukta vifupi vimeishia kwenye mapaja na tumbo wazi sio ustaarabu.
Tumekuja. Ustaarabu kumbe ni upi mkuu?
 
Zamani tulifunika magome ya miti tu tena kwenye mkunyenge tu Leo hii mpaka tumevaa bukta

Hebu acheni wivu wenu
 
Back
Top Bottom