binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Ni kweli kabisaWenye matatizo ya akili wengi tu wanatumika au kujitumia na wanapata mashabiki wenzao wenye matatizo ya akili, kwa kutaja wachache, Sister fei, Amberuti na yule bwana ake, Gigy money, Hamo rapa, Ambalulu, Mashalavu, huyu Chikumbalaga, Piere liquid, Dk. Shika (RIP) na wengine wengi tu. Hawa wanahitaji kusaidiwa sio kutumika wanavyotumika, tuwe na huruma.
Wala sikuonei wivu mama, ila nimekuonea huruma vile umeamua kujianika na kujishikiza kwenye mashati ya watu kama shona nguo, eti kaka yako [emoji3][emoji3]. Punguza jeuri kama una njaa usadikike, na jaribu kuongoza njaa zako zisitoke kichwani had kwenye vidole na kubonyeza haya unayoyaonesha mitandaoni.Ndo tuseme unanionea wivu sio? Bahati mbaya kakaangu hatumii watu km nyie, pole shosti
🤣🤣🤣Punguza kiherehere dogo utaolewaWala sikuonei wivu mama, ila nimekuonea huruma vile umeamua kujianika na kujishikiza kwenye mashati ya watu kama shona nguo, eti kaka yako [emoji3][emoji3]. Punguza jeuri kama una njaa usadikike, na jaribu kuongoza njaa zako zisitoke kichwani had kwenye vidole na kubonyeza haya unayoyaonesha mitandaoni.
Pacha wake Meko, ukiona picha ya Meko umemuona ChikuNdio nani huyo?
Weka japo picha na wengine tumjue.
Taja wengine si piere liquid. Huyu jamaa ni likutana naye GSM ana akili zake kabisa. Tulisogoa sana na alikuwa ananiuliza maswali mengi yenye maana. Ni mfupi sana ila ana akili zake na anafanya kazi hapo GSM. Wengine sijuiWenye matatizo ya akili wengi tu wanatumika au kujitumia na wanapata mashabiki wenzao wenye matatizo ya akili, kwa kutaja wachache, Sister fei, Amberuti na yule bwana ake, Gigy money, Hamo rapa, Ambalulu, Mashalavu, huyu Chikumbalaga, Piere liquid, Dk. Shika (RIP) na wengine wengi tu. Hawa wanahitaji kusaidiwa sio kutumika wanavyotumika, tuwe na huruma.
Je Tanzania hamna sheria za kuwalinda watu wenye magonjwa ya akili?
piere gani anafanya kazi GSM na wewe.Taja wengine si piere liquid. Huyu jamaa ni likutana naye GSM ana akili zake kabisa. Tulisogoa sana na alikuwa ananiuliza maswali mengi yenye maana. Ni mfupi sana ila ana akili zake na anafanya kazi hapo GSM. Wengine sijui
Kama sister fey, sijui anawazaga nini.Wenye matatizo ya akili wengi tu wanatumika au kujitumia na wanapata mashabiki wenzao wenye matatizo ya akili, kwa kutaja wachache, Sister fei, Amberuti na yule bwana ake, Gigy money, Hamo rapa, Ambalulu, Mashalavu, huyu Chikumbalaga, Piere liquid, Dk. Shika (RIP) na wengine wengi tu. Hawa wanahitaji kusaidiwa sio kutumika wanavyotumika, tuwe na huruma.
piere gani anafanya kazi GSM na wewe.
Hapana sifanyi biashara ya kuimport, nilidhani anafanya kazi GSM dukani ndio nikamuuliza, otherwise hakuna neno.Kama wewe ni mteja wa gsm...una import sana mizigo kutoka nje kupitia gsm... Piere lazima uwe umekutana nae sana akiwa kazini warehouse ya Gsm, piere anafanya kazi gsm warehouse kuchangamsha wateja
Ni mwanamke mwenzetu, ni huruma sana anachofanya.Kama sister fey, sijui anawazaga nini.
Wewe mbishi tu. Piga simu hii uombe kuongea naye 0746813813. Wakati mwingine muachage ubishi usio na maanapiere gani anafanya kazi GSM na wewe.
Kuulizwa hivyo ushaona mimi mbishi heee! Nisiulize kitu nisichokuwa na uhakika nacho.. Nipige simu as if ni kitu serious hivyo! Mbona kuna mtu kanielewesha huko juu na nimekubaliana nae.Wewe mbishi tu. Piga simu hii uombe kuongea naye 0746813813. Wakati mwingine muachage ubishi usio na maana
Huyu jamaa si anavaa vizuri, anakula vizuri, anaishi pazuri pamoja na kutumika? Serikali ikimchukua inaweza mpa hayo anayoyapata now?Je Tanzania hamna sheria za kuwalinda watu wenye magonjwa ya akili?
Na ubishi huo, sidhani kama utampata mchumbaKuulizwa hivyo ushaona mimi mbishi heee! Nisiulize kitu nisichokuwa na uhakika nacho.. Nipige simu as if ni kitu serious hivyo! Mbona kuna mtu kanielewesha huko juu na nimekubaliana nae.