Si uungwana kabisa kumrekodi Chikumbalaga na kumtumia kupata pesa wakati ukijua ni mgonjwa wa akili

Wenye matatizo ya akili wengi tu wanatumika au kujitumia na wanapata mashabiki wenzao wenye matatizo ya akili, kwa kutaja wachache, Sister fei, Amberuti na yule bwana ake, Gigy money, Hamo rapa, Ambalulu, Mashalavu, huyu Chikumbalaga, Piere liquid, Dk. Shika (RIP) na wengine wengi tu. Hawa wanahitaji kusaidiwa sio kutumika wanavyotumika, tuwe na huruma.
 
Ni kweli kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo tuseme unanionea wivu sio? Bahati mbaya kakaangu hatumii watu km nyie, pole shosti
Wala sikuonei wivu mama, ila nimekuonea huruma vile umeamua kujianika na kujishikiza kwenye mashati ya watu kama shona nguo, eti kaka yako [emoji3][emoji3]. Punguza jeuri kama una njaa usadikike, na jaribu kuongoza njaa zako zisitoke kichwani had kwenye vidole na kubonyeza haya unayoyaonesha mitandaoni.
 
🤣🤣🤣Punguza kiherehere dogo utaolewa
 
Hua nawaza sana pia binafsi sidhani kama ni ridhaa yake kwa vile anaonekana yote kwa yote wanaonufaika nae wamsaidie kuhifadhi fedha kama hua anapata mwisho wa siku zikamsaidie na jamaa zake

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
 
Wenye matatizo ya akili wengi tu wanatumika au kujitumia na wanapata mashabiki wenzao wenye matatizo ya akili, kwa kutaja wachache, Sister fei, Amberuti na yule bwana ake, Gigy money, Hamo rapa, Ambalulu, Mashalavu, huyu Chikumbalaga, Piere liquid, Dk. Shika (RIP) na wengine wengi tu. Hawa wanahitaji kusaidiwa sio kutumika wanavyotumika, tuwe na huruma.
Taja wengine si piere liquid. Huyu jamaa ni likutana naye GSM ana akili zake kabisa. Tulisogoa sana na alikuwa ananiuliza maswali mengi yenye maana. Ni mfupi sana ila ana akili zake na anafanya kazi hapo GSM. Wengine sijui
 
piere gani anafanya kazi GSM na wewe.
 
Wenye matatizo ya akili wengi tu wanatumika au kujitumia na wanapata mashabiki wenzao wenye matatizo ya akili, kwa kutaja wachache, Sister fei, Amberuti na yule bwana ake, Gigy money, Hamo rapa, Ambalulu, Mashalavu, huyu Chikumbalaga, Piere liquid, Dk. Shika (RIP) na wengine wengi tu. Hawa wanahitaji kusaidiwa sio kutumika wanavyotumika, tuwe na huruma.
Kama sister fey, sijui anawazaga nini.
 
Kama wewe ni mteja wa gsm...una import sana mizigo kutoka nje kupitia gsm... Piere lazima uwe umekutana nae sana akiwa kazini warehouse ya Gsm, piere anafanya kazi gsm warehouse kuchangamsha wateja
Hapana sifanyi biashara ya kuimport, nilidhani anafanya kazi GSM dukani ndio nikamuuliza, otherwise hakuna neno.
 
Wewe mbishi tu. Piga simu hii uombe kuongea naye 0746813813. Wakati mwingine muachage ubishi usio na maana
Kuulizwa hivyo ushaona mimi mbishi heee! Nisiulize kitu nisichokuwa na uhakika nacho.. Nipige simu as if ni kitu serious hivyo! Mbona kuna mtu kanielewesha huko juu na nimekubaliana nae.
 
Je Tanzania hamna sheria za kuwalinda watu wenye magonjwa ya akili?
Huyu jamaa si anavaa vizuri, anakula vizuri, anaishi pazuri pamoja na kutumika? Serikali ikimchukua inaweza mpa hayo anayoyapata now?
Sidhani kama shida ni ugonjwa wa akili, shida ni pesa anayotengeneza huyo anayefanya naye kazi mitandaoni.
 
Kuulizwa hivyo ushaona mimi mbishi heee! Nisiulize kitu nisichokuwa na uhakika nacho.. Nipige simu as if ni kitu serious hivyo! Mbona kuna mtu kanielewesha huko juu na nimekubaliana nae.
Na ubishi huo, sidhani kama utampata mchumba
 
Back
Top Bottom