binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Wenye matatizo ya akili wengi tu wanatumika au kujitumia na wanapata mashabiki wenzao wenye matatizo ya akili, kwa kutaja wachache, Sister fei, Amberuti na yule bwana ake, Gigy money, Hamo rapa, Ambalulu, Mashalavu, huyu Chikumbalaga, Piere liquid, Dk. Shika (RIP) na wengine wengi tu. Hawa wanahitaji kusaidiwa sio kutumika wanavyotumika, tuwe na huruma.