Si uungwana kabisa kumrekodi Chikumbalaga na kumtumia kupata pesa wakati ukijua ni mgonjwa wa akili

Roby One muhuni kamtumia kubrand duka tu tuka na chiku tunduma hapa wakuu
 
Mkuu kipaji kipi cha uchekeshaji maana hajitambui kabisa, na wala haelewi kafikaje hapo alipo, nilisikiliza mahojiano yake jamaa hazimo kabisa, hao wanaomtumia sidhani kama wanamlipa ki halali, yule hata 2000 Kwa siku anaiona nyingi. Mkuu jamaa dishi limeinama kabisa sio kuyumba
 
Mnataka arudi kijijini akasote eeeh,,,acheni roho mbaya wabongo jamaa katolewa shamba uko alikuwa yuko rafu sana kaletwa mjini anapendeza na anafanya comedy zake

mmeenza kumuonea wivu anavyotrend
Anatumika unasema tuna muonea wivu, hatutaki arudi kijijijini ila atumike ki halali, au wewe ndio unayemsimamia?
 
Roby One muhuni kamtumia kubrand duka tu tuka na chiku tunduma hapa wakuu
Ndiyo mkuu chiku amesharudi Tunduma muda saana, Toka kwenye msiba wa Don mmoja Hivi...nilimwona hata Juzi nimemwona mitaa ya kisimani.
Chiku halipwi pesa yeyote ...na mtu yeyote ...Ila huwa anapewa na Mason ,Wanasiasa ...watu maarufu ..Ila ndo mpaka ajikombekombe.
 
Mnataka arudi kijijini akasote eeeh,,,acheni roho mbaya wabongo jamaa katolewa shamba uko alikuwa yuko rafu sana kaletwa mjini anapendeza na anafanya comedy zake

mmeenza kumuonea wivu anavyotrend
Hakuna mtu anayemwonea wivu chikumbalaga, shida unakuja watu wanapomtumia kwa manufaa yao Bila Yeye kufaidika.
Wewe unamfahamu chiku wa mtandaoni Mimi namfahamu chiku ambaye karibu kila siku nakutana nae..
Kwenye hafla mbalimbali na maisha ya kila siku.
Robby kamtumia then kamtelekeza.
Angekuwa mwanao au ndugu yako ungefurahi?
 
Mibongo mingi vichwa ni viazi: Hapo labda linataka awe omba omba ili limpige majungu.
Kichwa viazi ni yule anayesoma huu Uzi na kukurupuka kujibu bila kujua kwamba hakuna anayemtakia mabaya huyo binadam, tambua kwamba hata yule aliyehifadhi wale walemavu kule guest ukiangalia juu juu utaona kawasaidia kumbe alikuwa anawatumikisha.
 
Kabisa hao wote ni wagonjwa
 
Kuna nabii Tito
 
unataka kusema uyo chiku wa miaka mitatu nyuma na sasa hivi hakuna changes

Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…