binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Kwasababu kwako kuchumbiwa ndio mafanikio? hata hivyo ninavyo vyote we unazungumzia mchumba tu, see your brain.Na ubishi huo, sidhani kama utampata mchumba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwasababu kwako kuchumbiwa ndio mafanikio? hata hivyo ninavyo vyote we unazungumzia mchumba tu, see your brain.Na ubishi huo, sidhani kama utampata mchumba
Usiwe kiziwi binti, fungua masikioKwasababu kwako kuchumbiwa ndio mafanikio? hata hivyo ninavyo vyote we unazungumzia mchumba tu, see your brain.
Mkuu kipaji kipi cha uchekeshaji maana hajitambui kabisa, na wala haelewi kafikaje hapo alipo, nilisikiliza mahojiano yake jamaa hazimo kabisa, hao wanaomtumia sidhani kama wanamlipa ki halali, yule hata 2000 Kwa siku anaiona nyingi. Mkuu jamaa dishi limeinama kabisa sio kuyumbaHayuko sawa kuna nut zimelegea kidogo hivyo kusababisha dishi liyumbe... Haya ni baadhi ya majibu yake
Ana miaka 75
Amezaliwa mwaka 75
Kwenye show anazoalikwa hulipwa kati ya laki 250 mpaka laki 5
Pale kariakoo kwenye duka lililomleta dar toka Tunduma kazi yake ni kuingiza na kutoa mizigo store
Kwenye hilo duka kwa siku anauza viatu pair 5
Mshahara anaolipwa ni laki 250
Kwa majibu hayo machache utaona yuko obsessed na namba 5, cd ya medulla ina scrach kila ikifikia kwenye tano
Mtu pekee anayemuamini na kumtaja sana ni mama yake mzazi, hata pesa anazolipwa humpa mama yake amuwekee...
Hana demu na kilevi chake ni maji[emoji848][emoji848][emoji848] kumtumia kama mvuto kwenye biashara ...kijamii inatatiza kidogo... Labda Robby fashion wanaweza kuja na utetezi kuwa wanataka kumsaidia akuze kipaji chake (cha uchezaji miziki/ngoma) lakini bado huu utetezi unaweza kuacha mashaka mengi
Anatumika unasema tuna muonea wivu, hatutaki arudi kijijijini ila atumike ki halali, au wewe ndio unayemsimamia?Mnataka arudi kijijini akasote eeeh,,,acheni roho mbaya wabongo jamaa katolewa shamba uko alikuwa yuko rafu sana kaletwa mjini anapendeza na anafanya comedy zake
mmeenza kumuonea wivu anavyotrend
Alikimbia nchi huyo siku nyingi.Kakaangu Kama uko tz tutafutane nimekumiss eti,
Umeisoma hii [emoji116]?Mnataka arudi kijijini akasote eeeh,,,acheni roho mbaya wabongo jamaa katolewa shamba uko alikuwa yuko rafu sana kaletwa mjini anapendeza na anafanya comedy zake
mmeenza kumuonea wivu anavyotrend
Ni kweli kabisaWatu wanamtumia kama fursa.
Kama wapo watakuwa likizoJe Tanzania hamna sheria za kuwalinda watu wenye magonjwa ya akili?
Ndiyo mkuu chiku amesharudi Tunduma muda saana, Toka kwenye msiba wa Don mmoja Hivi...nilimwona hata Juzi nimemwona mitaa ya kisimani.Roby One muhuni kamtumia kubrand duka tu tuka na chiku tunduma hapa wakuu
Hakuna mtu anayemwonea wivu chikumbalaga, shida unakuja watu wanapomtumia kwa manufaa yao Bila Yeye kufaidika.Mnataka arudi kijijini akasote eeeh,,,acheni roho mbaya wabongo jamaa katolewa shamba uko alikuwa yuko rafu sana kaletwa mjini anapendeza na anafanya comedy zake
mmeenza kumuonea wivu anavyotrend
Kichwa viazi ni yule anayesoma huu Uzi na kukurupuka kujibu bila kujua kwamba hakuna anayemtakia mabaya huyo binadam, tambua kwamba hata yule aliyehifadhi wale walemavu kule guest ukiangalia juu juu utaona kawasaidia kumbe alikuwa anawatumikisha.Mibongo mingi vichwa ni viazi: Hapo labda linataka awe omba omba ili limpige majungu.
Kabisa hao wote ni wagonjwaWenye matatizo ya akili wengi tu wanatumika au kujitumia na wanapata mashabiki wenzao wenye matatizo ya akili, kwa kutaja wachache, Sister fei, Amberuti na yule bwana ake, Gigy money, Hamo rapa, Ambalulu, Mashalavu, huyu Chikumbalaga, Piere liquid, Dk. Shika (RIP) na wengine wengi tu. Hawa wanahitaji kusaidiwa sio kutumika wanavyotumika, tuwe na huruma.
Kumbe ndio kazi yake, basi hana kasoro na Chiku...Kama wewe ni mteja wa gsm...una import sana mizigo kutoka nje kupitia gsm... Piere lazima uwe umekutana nae sana akiwa kazini warehouse ya Gsm, piere anafanya kazi gsm warehouse kuchangamsha wateja
Hahahahah"Aliyeweka Chumvi kwenye maji ni nani?hajui watu wataumwa?!"😂😂
Kuna nabii TitoWenye matatizo ya akili wengi tu wanatumika au kujitumia na wanapata mashabiki wenzao wenye matatizo ya akili, kwa kutaja wachache, Sister fei, Amberuti na yule bwana ake, Gigy money, Hamo rapa, Ambalulu, Mashalavu, huyu Chikumbalaga, Piere liquid, Dk. Shika (RIP) na wengine wengi tu. Hawa wanahitaji kusaidiwa sio kutumika wanavyotumika, tuwe na huruma.
unataka kusema uyo chiku wa miaka mitatu nyuma na sasa hivi hakuna changesHakuna mtu anayemwonea wivu chikumbalaga, shida unakuja watu wanapomtumia kwa manufaa yao Bila Yeye kufaidika.
Wewe unamfahamu chiku wa mtandaoni Mimi namfahamu chiku ambaye karibu kila siku nakutana nae..
Kwenye hafla mbalimbali na maisha ya kila siku.
Robby kamtumia then kamtelekeza.
Angekuwa mwanao au ndugu yako ungefurahi?
unajua anakula nini analala wapi na anavaaje,,, we ulitaka asaidiwe vipAnatumika unasema tuna muonea wivu, hatutaki arudi kijijijini ila atumike ki halali, au wewe ndio unayemsimamia?
unataka kusema uyo chiku wa miaka mitatu nyuma na sasa hivi hakuna changes ...chiku wa Sasa kaongezeka umaarufu Tuu/kujuliakana hakuna kingine.
Ni Bora anavyojikomba komba kwa Wanasiasa na Madon wa hapa Tunduma anapewa cash na siyo upuuzi wanaomfanyia Robby uno na wasafi na baadhi ya watu wanaotumia jina lake kutafuta umaarufu Kama mshkaji huyo wa Instagram
Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app