mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Mnataka arudi kijijini akasote eeeh,,,acheni roho mbaya wabongo jamaa katolewa shamba uko alikuwa yuko rafu sana kaletwa mjini anapendeza na anafanya comedy zake
mmeenza kumuonea wivu anavyotrend
eenhe tena huyu ndio kabisaa! wanahitaji msaada vile wanavyofanya/fanyiwa si sawa.Kuna nabii Tito
Itabidi nimfate alikoAlikimbia nchi huyo siku nyingi.
Shida kubwa ya watu wanaojifanya kushauri mtu fulani alipaswa kusaidiwa kwa namna fulani, wao huwa hawatoi msaada hata 100.Huyu jamaa si anavaa vizuri, anakula vizuri, anaishi pazuri pamoja na kutumika? Serikali ikimchukua inaweza mpa hayo anayoyapata now?
Sidhani kama shida ni ugonjwa wa akili, shida ni pesa anayotengeneza huyo anayefanya naye kazi mitandaoni.
KabisaShida kubwa ya watu wanaojifanya kushauri mtu fulani alipaswa kusaidiwa kwa namna fulani, wao huwa hawatoi msaada hata 100.
Tena kwenye nyumba zao, hata sisimizi halambi sukari.
Nyie ndio wale mtu anahitaji msaada unamjibu vumilia Tu mbona una Kula, unavaa na kulala bure,unajua anakula nini analala wapi na anavaaje,,, we ulitaka asaidiwe vip
Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
Anahitaji msaada gani ?Nyie ndio wale mtu anahitaji msaada unamjibu vumilia Tu mbona una Kula, unavaa na kulala bure,
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji119]Ukiona hivo hali tete tia maji tia maji, sasa unataka umpurure kidogo kwa kupitia neno lenu nimekumiss
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji119]Ndo tuseme unanionea wivu sio? Bahati mbaya kakaangu hatumii watu km nyie, pole shosti
Ndio nani huyo?
Weka japo picha na wengine tumjue.
Yule ni Entertainer. Na watu wanafurahi.
Ndugu zake hawalalamiki, sasa ninyi malimwengu mnaumia nini, mnataka awe omba omba mfurahi???
Mtu ana kipaji chake kama entertainer, na bahati nzuri kapata watu at least wanamwezesha analala, anakula, anavaa, anamtupia mama yake chochote( as long as hawamuumizi ) wewe unaumia nini ??
Kuna watu wangapi hapa Dar u aowaona wana akili timamu lakini WANALALA Nje kwenye vituo vya Daladala na barabarani ???
Je, unataka aje kukaa kwako, mtumie basi hata oesa ya kununua viatu.
Binafsi naona tatizo la Chiku ni dogo tu na wala halina athari kubwa.
Kwanza haongei MATUSI.
Pili, hali hali haiathiri chochote kama entertainer.
Anyway, Nimewahi kusikia hata Chuck Norris ni chizi.
Mibongo bana 💩💩💩💩
Hayo siyo matusi mkuu.Mkuuu unachokiongea ni ukweli sana,ila sema huyu jamaa kuna mahali ilawai ongea matusisi alisema mm sio Malaya ww ndio Malaya,alafu akasema hacha Mambo ya Kise.....****.Sory kwa kutaka kuthibitisha.
UnanimisssKakaangu Kama uko tz tutafutane nimekumiss eti,
SanaUnanimisss
Asante sanaa ila kwa sasa niko mbaliiSana
👍Ukiwa karibu nishtueAsante sanaa ila kwa sasa niko mbalii
Powaa👍Ukiwa karibu nishtue
Nikusahihishe mkuu Dkt. Shika (R.I.P) hakua mgonjwa wa akili mzee alikua anajua sana kupangilia sentensi zake akihojiwa. Sikuona mwandishi yeyote alieweza kumhoji yule mzee nadhani ni kwasababu aliwazidi sana maarifa, jaribu kufatilia mahojiano yake utalijua hilo.Wenye matatizo ya akili wengi tu wanatumika au kujitumia na wanapata mashabiki wenzao wenye matatizo ya akili, kwa kutaja wachache, Sister fei, Amberuti na yule bwana ake, Gigy money, Hamo rapa, Ambalulu, Mashalavu, huyu Chikumbalaga, Piere liquid, Dk. Shika (RIP) na wengine wengi tu. Hawa wanahitaji kusaidiwa sio kutumika wanavyotumika, tuwe na huruma.