Si uungwana kabisa kumrekodi Chikumbalaga na kumtumia kupata pesa wakati ukijua ni mgonjwa wa akili

Si uungwana kabisa kumrekodi Chikumbalaga na kumtumia kupata pesa wakati ukijua ni mgonjwa wa akili

Ila kweli.kikubwa na yeye APEWE HELA.aendeshe maisha yake.ila kama wanamdhulumu hapo tatizo
Mnataka arudi kijijini akasote eeeh,,,acheni roho mbaya wabongo jamaa katolewa shamba uko alikuwa yuko rafu sana kaletwa mjini anapendeza na anafanya comedy zake

mmeenza kumuonea wivu anavyotrend
 
Spring coil moja imekata ikiwekwa ingine dish litanasa mawimbi vizuri..alisikika jamaa yake wa karibu.hivyo akipelekwa hapo Dom Milembe kwa matengenezo kidogo kitu inakubali ila ndio fursa itapotea kwa hao wawekezaji..
 
Huyu jamaa si anavaa vizuri, anakula vizuri, anaishi pazuri pamoja na kutumika? Serikali ikimchukua inaweza mpa hayo anayoyapata now?
Sidhani kama shida ni ugonjwa wa akili, shida ni pesa anayotengeneza huyo anayefanya naye kazi mitandaoni.
Shida kubwa ya watu wanaojifanya kushauri mtu fulani alipaswa kusaidiwa kwa namna fulani, wao huwa hawatoi msaada hata 100.

Tena kwenye nyumba zao, hata sisimizi halambi sukari.
 
Shida kubwa ya watu wanaojifanya kushauri mtu fulani alipaswa kusaidiwa kwa namna fulani, wao huwa hawatoi msaada hata 100.

Tena kwenye nyumba zao, hata sisimizi halambi sukari.
Kabisa
 
Ndio nani huyo?

Weka japo picha na wengine tumjue.
IMG_20210313_021432.jpg
 
Yule ni Entertainer. Na watu wanafurahi.

Ndugu zake hawalalamiki, sasa ninyi malimwengu mnaumia nini, mnataka awe omba omba mfurahi???

Mtu ana kipaji chake kama entertainer, na bahati nzuri kapata watu at least wanamwezesha analala, anakula, anavaa, anamtupia mama yake chochote( as long as hawamuumizi ) wewe unaumia nini ??

Kuna watu wangapi hapa Dar u aowaona wana akili timamu lakini WANALALA Nje kwenye vituo vya Daladala na barabarani ???

Je, unataka aje kukaa kwako, mtumie basi hata oesa ya kununua viatu.

Binafsi naona tatizo la Chiku ni dogo tu na wala halina athari kubwa.

Kwanza haongei MATUSI.

Pili, hali hali haiathiri chochote kama entertainer.

Anyway, Nimewahi kusikia hata Chuck Norris ni chizi.

Mibongo bana 💩💩💩💩

Mkuuu unachokiongea ni ukweli sana,ila sema huyu jamaa kuna mahali ilawai ongea matusisi alisema mm sio Malaya ww ndio Malaya,alafu akasema hacha Mambo ya Kise.....****.Sory kwa kutaka kuthibitisha.
 
Mkuuu unachokiongea ni ukweli sana,ila sema huyu jamaa kuna mahali ilawai ongea matusisi alisema mm sio Malaya ww ndio Malaya,alafu akasema hacha Mambo ya Kise.....****.Sory kwa kutaka kuthibitisha.
Hayo siyo matusi mkuu.
 
Wenye matatizo ya akili wengi tu wanatumika au kujitumia na wanapata mashabiki wenzao wenye matatizo ya akili, kwa kutaja wachache, Sister fei, Amberuti na yule bwana ake, Gigy money, Hamo rapa, Ambalulu, Mashalavu, huyu Chikumbalaga, Piere liquid, Dk. Shika (RIP) na wengine wengi tu. Hawa wanahitaji kusaidiwa sio kutumika wanavyotumika, tuwe na huruma.
Nikusahihishe mkuu Dkt. Shika (R.I.P) hakua mgonjwa wa akili mzee alikua anajua sana kupangilia sentensi zake akihojiwa. Sikuona mwandishi yeyote alieweza kumhoji yule mzee nadhani ni kwasababu aliwazidi sana maarifa, jaribu kufatilia mahojiano yake utalijua hilo.
 
Back
Top Bottom