britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Kuna jina linatrend sana Instagram na YouTube CHIKUMBALAGA, huyu mwenye akaunt hiyo anajua kabisa Si uungwana kabisa kumrekodi Chikumbalaga na kumtumia kupata pesa wakati ukijua ni mgonjwa wa akili, lakini anaendelea,
Hii lazima Busara itumike, ikishindika basi sheria ichukue mkondo wake!
Yule (INSANE)
Britannica
Hii lazima Busara itumike, ikishindika basi sheria ichukue mkondo wake!
Yule (INSANE)
Wenye matatizo ya akili wengi tu wanatumika au kujitumia na wanapata mashabiki wenzao wenye matatizo ya akili, kwa kutaja wachache, Sister fei, Amberuti na yule bwana ake, Gigy money, Hamo rapa, Ambalulu, Mashalavu, huyu Chikumbalaga, Piere liquid, Dk. Shika (RIP) na wengine wengi tu. Hawa wanahitaji kusaidiwa sio kutumika wanavyotumika, tuwe na huruma.
Britannica