Si uungwana kabisa kumrekodi Chikumbalaga na kumtumia kupata pesa wakati ukijua ni mgonjwa wa akili

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
Kuna jina linatrend sana Instagram na YouTube CHIKUMBALAGA, huyu mwenye akaunt hiyo anajua kabisa Si uungwana kabisa kumrekodi Chikumbalaga na kumtumia kupata pesa wakati ukijua ni mgonjwa wa akili, lakini anaendelea,

Hii lazima Busara itumike, ikishindika basi sheria ichukue mkondo wake!
Yule (INSANE)

Wenye matatizo ya akili wengi tu wanatumika au kujitumia na wanapata mashabiki wenzao wenye matatizo ya akili, kwa kutaja wachache, Sister fei, Amberuti na yule bwana ake, Gigy money, Hamo rapa, Ambalulu, Mashalavu, huyu Chikumbalaga, Piere liquid, Dk. Shika (RIP) na wengine wengi tu. Hawa wanahitaji kusaidiwa sio kutumika wanavyotumika, tuwe na huruma.

Britannica
 
Hayuko sawa kuna nut zimelegea kidogo hivyo kusababisha dishi liyumbe... Haya ni baadhi ya majibu yake
Ana miaka 75
Amezaliwa mwaka 75
Kwenye show anazoalikwa hulipwa kati ya laki 250 mpaka laki 5
Pale kariakoo kwenye duka lililomleta dar toka Tunduma kazi yake ni kuingiza na kutoa mizigo store
Kwenye hilo duka kwa siku anauza viatu pair 5
Mshahara anaolipwa ni laki 250

Kwa majibu hayo machache utaona yuko obsessed na namba 5, cd ya medulla ina scrach kila ikifikia kwenye tano
Mtu pekee anayemuamini na kumtaja sana ni mama yake mzazi, hata pesa anazolipwa humpa mama yake amuwekee...
Hana demu na kilevi chake ni maji[emoji848][emoji848][emoji848] kumtumia kama mvuto kwenye biashara ...kijamii inatatiza kidogo... Labda Robby fashion wanaweza kuja na utetezi kuwa wanataka kumsaidia akuze kipaji chake (cha uchezaji miziki/ngoma) lakini bado huu utetezi unaweza kuacha mashaka mengi
 
Mnataka arudi kijijini akasote eeeh,,,acheni roho mbaya wabongo jamaa katolewa shamba uko alikuwa yuko rafu sana kaletwa mjini anapendeza na anafanya comedy zake

mmeenza kumuonea wivu anavyotrend
 
Kazaliwa mjini ndugu
 
Kuna jina linatrend sana Instagram na YouTube CHIKUMBALAGA, huyu mwenye akaunt hiyo anajua kabisa Si uungwana kabisa kumrekodi Chikumbalaga na kumtumia kupata pesa wakati ukijua ni mgonjwa wa akili, lakini anaendelea,

Hii lazima Busara itumike, ikishindika basi sheria ichukue mkondo wake!
Yule (INSANE)

Britannica
Yule ni Entertainer. Na watu wanafurahi.

Ndugu zake hawalalamiki, sasa ninyi malimwengu mnaumia nini, mnataka awe omba omba mfurahi???

Mtu ana kipaji chake kama entertainer, na bahati nzuri kapata watu at least wanamwezesha analala, anakula, anavaa, anamtupia mama yake chochote( as long as hawamuumizi ) wewe unaumia nini ??

Kuna watu wangapi hapa Dar u aowaona wana akili timamu lakini WANALALA Nje kwenye vituo vya Daladala na barabarani ???

Je, unataka aje kukaa kwako, mtumie basi hata oesa ya kununua viatu.

Binafsi naona tatizo la Chiku ni dogo tu na wala halina athari kubwa.

Kwanza haongei MATUSI.

Pili, hali hali haiathiri chochote kama entertainer.

Anyway, Nimewahi kusikia hata Chuck Norris ni chizi.

Mibongo bana 💩💩💩💩
 
Hayuko sawa kuna nut zimelegea kidogo hivyo kusababisha dishi liyumbe... Haya ni baadhi ya majibu yake
Ana miaka 75
Amezaliwa mwaka 75
Kwenye show anazoalikwa hulipwa kati ya laki 250 mpaka laki 5
Pale kariakoo kwenye duka lililomleta dar toka Tunduma kazi yake ni kuingiza na kutoa mizigo store
Kwenye hilo duka kwa siku anauza viatu pair 5
Mshahara anaolipwa ni laki 250

Kwa majibu hayo machache utaona yuko obsessed na namba 5, cd ya medulla ina scrach kila ikifikia kwenye tano
Mtu pekee anayemuamini na kumtaja sana ni mama yake mzazi, hata pesa anazolipwa humpa mama yake amuwekee...
Hana demu na kilevi chake ni maji[emoji848][emoji848][emoji848] kumtumia kama mvuto kwenye biashara ...kijamii inatatiza kidogo... Labda Robby fashion wanaweza kuja na utetezi kuwa wanataka kumsaidia akuze kipaji chake (cha uchezaji miziki/ngoma) lakini bado huu utetezi unaweza kuacha mashaka mengi

Nut?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom