Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Ndio maana nikasema huenda kuna kitu kinaingia polepole haujagundua bado. Ukishaweka sisi na wao, eventually kuna tatizo, labda tuseme hao wenzenu kweli wanafuata imani yao ndio inawaambia hivyo kwamba wabague wengine (kama ni kweli basi imani za hivyo kwenye jamii hazifai), ila ukichimba sana imani yako utaona pia ina ubaguzi, unabagua wasio imani yako au ambao unadhani ni watenda dhambi.Mkuu Mimi sio mbaguzi kabisa. Niko flexible mpaka watu wa dini yangu huwa wanashangaa.
Nina uwezo wa kukaa na waamini wa dini yeyote nikasikiliza mahubiri yao na kusali pamoja na bado Niko very strong kwenye dini yangu though nairegard Kama chombo Cha wakoloni tu.
Kinachonisukuma hasa ni amri ya upendo. Ukiwa na upendo vingine vinakuja tu.
Kinachonishangaza Hawa wenzetu wako very rigid, very rigid. Yaani huwa nawashangaa mno.
That's why nafurahi sana serikali yetu / Tanzania haina Dini bali watu wake ndio wana dini (haya mambo yawe practised kwenye mahekalu au panapo watu wa imani moja ukiyaleta kwenye kadamnasi ni kero kwa wengine wasio imani yako.