Si uungwana kubaguana kwa tofauti za dini

Ndio maana nikasema huenda kuna kitu kinaingia polepole haujagundua bado. Ukishaweka sisi na wao, eventually kuna tatizo, labda tuseme hao wenzenu kweli wanafuata imani yao ndio inawaambia hivyo kwamba wabague wengine (kama ni kweli basi imani za hivyo kwenye jamii hazifai), ila ukichimba sana imani yako utaona pia ina ubaguzi, unabagua wasio imani yako au ambao unadhani ni watenda dhambi.

That's why nafurahi sana serikali yetu / Tanzania haina Dini bali watu wake ndio wana dini (haya mambo yawe practised kwenye mahekalu au panapo watu wa imani moja ukiyaleta kwenye kadamnasi ni kero kwa wengine wasio imani yako.
 
Kweli ubaguzi ni ubaguzi hata wa ukabila upo Ila atleast kwenye ukabila unaweza usitaje jina la ukoo na mambo yakaenda fresh.

Ila huku kwingine hata ukitaja majina mawili tu, tayari ameshajua wewe si mwenzie na figisu zinaanza. Very ridiculous.
Hujaelewa, issue ni kwamba ubaguzi ni tabia binafsi ya mtu kama huna hiyo tabia ya ubaguzi hata hayo majina rafudhi au muonekano haiwezi kuwa tatizo.
 
Unakuta ofisi nzima wameajiriana dini moja paka mfungua geti.
 
Reactions: rr4
Naona unawasema wa Catholic jamaa Wana roho mbaya yuko padre wao hata gar iwe tupu hakupi lift hata katkat ya pori ukiwa pekeyako

Kama huwasemi hao Basi ubaguzi ni tabia ya mtu na siyo dini
 

Dini ipi hiyo sasa?
 
Dini mletewe....

Mnabaguana na kukashifiana.....

Kazi kwerikweri

Ova
 
Inferiority complex
 
Ungetaja ni dini gani hao wabaguzi.Usifiche.
 
Ndivyo dini yao inavyowaelekeza
 
Naona unawasema wa Catholic jamaa Wana roho mbaya yuko padre wao hata gar iwe tupu hakupi lift hata katkat ya pori ukiwa pekeyako

Kama huwasemi hao Basi ubaguzi ni tabia ya mtu na siyo dini
Nunua gari yako boss, kupewa lift sio lazima
 
Kabisa, hata mimi sitoagi lift na sipendi pia kupewa lift mtu akisimama anipe lift namwambia tayari nimefika asante.
Ni jambo jema.Si uungwana kujirahisisharahisisha wala kuwa na huruma za kijinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…