Si vibaya tukishea kwa pamoja hii Elimu kiduchu kumhusu Adui yetu mkubwa Nyoka

Si vibaya tukishea kwa pamoja hii Elimu kiduchu kumhusu Adui yetu mkubwa Nyoka

Hakuna kiumbe duniani asiye jihami ili kuokoa maisha yake , ukali ya nyoka ni katika namna ya kujihami tu , ila kiufupi nyoka huwa wanakwepa sana kukutana na binadamu .


Kiumbe hatari namba moja duniani ni binadamu, kama ni kumpachika jina la shetani binadamu ndio alipaswa awe shetani
 
Nyoka mara nyingi huwa mnawatafuta wenyewe, na wengi hawana shida na binadamu maana sisi sio chakula chao bali sisi tunawala wao.

Hata hao chatu wanaomezq mifugo inadaiwa hawapendi kummeza binadamu.
 
Hakuna kiumne duniani asiye jihami ili kuokoa maisha yake , ukali ya nyoka ni katika namna ya kujihami tu , ila kiufupi nyoka huwa wanakwepa sana kukutana na binadamu .


Kiumbe hatari namba moja duniani ni binadamu, kama ni kumpachika jina la shetani binadamu ndio alipaswa awe shetani
Umemaliza kila kitu
 
ila kiufupi nyoka huwa wanakwepa sana kukutana na binadamu .
Hapa umesema ukweli kabisa nimepishana na nyoka mara nyingi zaidi zaidi ni kunikimbia tu ila hakuwahi kuniletea shida na kuna nyoka ukimuua inakuletea shida unapatwa na mabalaa hatari kuna nyoka wapole hawana shida na mtu kabisa ila watu ndio wana shida na nyoka
 
Adui yetu namba moja ni ccm, nyoka umemuonea tu kwa kuwa hana bunduki wala kikosi cha wasiojulikana, mwache nyoka afurahie maisha mkuu, hajawahi hata kukupigia kelele unapokuwa kwenye starehe zako, ila wewe unamsumbua kwa kila aina ya kelele na fujo.
 
Hivi jioni nimemponda nyoka njiani watu walikua washamuona nikawaambia sogeeni nikapita nae
 
Back
Top Bottom