DOKEZO Si Watoto wanaouza Mayai pekee wanasota hadi usiku, hata wanaouza dukani pia nao waangaliwe

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Changamoto ya watoto kutumikishwa shughuli mbalimbali hadi nyakati za usiku, siyo kwenye kuuza mayai tu, lakini pia hadi katika sekta ya dukani pia kuna watoto wadogo wanafanya kazi hadi saa 16 kwa siku.

Pia soma ~ Waziri Gwajima, fuatilia wimbi la watoto wanaofanyishwa biashara ya kuuza mayai mitaani hadi usiku

Salama, ni maduka makubwa ya vitu vya kawaida nyumbani na biashara ndogondogo, maeneo hasa Mbagala kuendelea ni issue inayofanywa sana na Waha.

Nimeona Toangoma, kuna hospital inaitwa Alexia pembeni kidogo kuna mtaa una Maduka mawili wanapaita Madukamawili kuna duka kubwa sintalitaja kwa jina ila kuna watoto wadogo kama wanne wanafanya kazi saa moja asubuhi hadi saa nne usiku.

Nadhani kama hatua zinachukuliwa basi zichukuliwe kwa watoto wote hao ili kuwasaidia.
 
Si tulikubaliana kuwa tuwaige wahindi kwa kuuza duka sambamba na watoto wao ili kuwarithisha ujuzi wa biashara?
 
Back
Top Bottom