Si zaidi ya Miaka 20 Ijayo, Tanzania Bara tutaenda kujifunza Zanzibar namna ya kutumia akili kufanya maendeleo

Wakiwa na rasilimali chache sana, Zanzibar wamegundua ili waweze kuendelea haraka ni vizuri waachane na akili za ki Tanzania Bara.

Sisi tukiwa tunaendekeza ujinga eti uraia pacha utahatarisha usalama wao siku nyingi walishapitisha suala la Diaspora kushiriki kuwa sehemu ya uchumi wa nchi yao.

Tukiwa tunaendekeza ujinga sijui wageni wasiruhisiwe kumiliki ardhi wao siku nyingi walishapitisha suala la wageni kumiliki ardhi na matunda yameanza kuonekana kwenye uchumi wao.

Kwa sasa ukitazama kwa makini kwenye kila kitu Zanzibar wanafanya kwa viwango vya juu sana.

Sisi tukiwa tunapiga lopolopo kujenga miji ya kisasa na makazi bora kwa wananchi, Zanzibar wameanza kutumia fedha wanazopata kuboresha makazi ya wananchi wao kwa kuwajengea nyumba bora kwenye maeneo yaliyopangwa na kujengwa vizuri.

Kinachonifurahisha zaidi Zanzibar hawana madini, hawana gesi, hawana Mbuga za wanyama ila wameamua kutumia akili kufanya mambo ya maana ambayo yanawapa fedha na wanazitumia vizuri.

Kwa hali ilivyo haitazidi miaka 20 Zanzibar itaenda kuwa kama Singapore au Korea Kusini. Nina uhakika baada ya miaka 20 ijayo Tanzania bara tutaenda kujifunza Zanzibar kuhusu namna ya kutumia akili kuvutia mitaji na kufanya maendeleo sahihi na kwa haraka.

View attachment 3195947View attachment 3195948View attachment 3195949View attachment 3195950
Kweli hatuna ila wewe ni zadi. Tanzania bara sijawahi kuiona ktk ramani yoyote ya dunia. Nimewahi kuona Tanganyika, Zanzibar na Tanzania.
 
Wakiwa na rasilimali chache sana, Zanzibar wamegundua ili waweze kuendelea haraka ni vizuri waachane na akili za ki Tanzania Bara.

Sisi tukiwa tunaendekeza ujinga eti uraia pacha utahatarisha usalama wao siku nyingi walishapitisha suala la Diaspora kushiriki kuwa sehemu ya uchumi wa nchi yao.

Tukiwa tunaendekeza ujinga sijui wageni wasiruhisiwe kumiliki ardhi wao siku nyingi walishapitisha suala la wageni kumiliki ardhi na matunda yameanza kuonekana kwenye uchumi wao.

Kwa sasa ukitazama kwa makini kwenye kila kitu Zanzibar wanafanya kwa viwango vya juu sana.

Sisi tukiwa tunapiga lopolopo kujenga miji ya kisasa na makazi bora kwa wananchi, Zanzibar wameanza kutumia fedha wanazopata kuboresha makazi ya wananchi wao kwa kuwajengea nyumba bora kwenye maeneo yaliyopangwa na kujengwa vizuri.

Kinachonifurahisha zaidi Zanzibar hawana madini, hawana gesi, hawana Mbuga za wanyama ila wameamua kutumia akili kufanya mambo ya maana ambayo yanawapa fedha na wanazitumia vizuri.

Kwa hali ilivyo haitazidi miaka 20 Zanzibar itaenda kuwa kama Singapore au Korea Kusini. Nina uhakika baada ya miaka 20 ijayo Tanzania bara tutaenda kujifunza Zanzibar kuhusu namna ya kutumia akili kuvutia mitaji na kufanya maendeleo sahihi na kwa haraka.

View attachment 3195947View attachment 3195948View attachment 3195949View attachment 3195950
Zanzibar ndio wapi huko????

..Ni Hayo Tu!!
 
Kinachofanya Zanzibar iendelee ni ule uislam wao,........ukifuata maisha yanavotaka kadri Quran inavosema hata kama hauna akili utaonekana Genius
1. Zanzibar matokeo ya form 4/6 yakitoka wanachekwa kua wamefeli,shule moja ya Kilimanjaro ama Bukoba Ina division 1 mara 20 ya zanzibar yote,ila linapokuja suala la kutumia akili jamaa wapo mbele ya muda
2.kipindi Nyerere anakenua meno kusaini muungano na master degree yake,Karume akiwa hajui kusoma akaweka deal kua rasilimali za Zanzibar zibaki Zanzibar za Tanganyika ni za kwetu😁😃😃😆
3.Zanzibar wanapiga vita sana culture tofauti nje ya uislam😁😀😆,maana wanajua watakuja viongozi ambao wapo tayari wanawake wajane wasiolewe ila watu wawe wazinzi,Sheria ya mke mmoja ni kwa wapumbavu😆😆,wapo tayari watu wanywe pombe ila wasilewe😁😃😆,......watakuja watu wakusanye pesa za raia kwenye nyumba za Ibada wazitumie Vatican huko na kujinunulia mandinga makali,
4.Per capital ya Zanzibar ni 2.5 ukilinganisha na bara,
5.Zanzibar inaongoza kufeli form four na six ila ina madaktari wengi sana ukilinganisha na sehemu yeyote ile yenye watu 2M kwenye hii nchi😆😆😂,........
6.Kipindi Samia anatia sign ya kuuza rare minerals kwa 16%,.........waislam WA Zanzibar kama TU walivo wa saudia,Iraq ama Algeria hawawezi kubali huo ufala
Yes upo sahihi,uislam usioingiliwa na propaganda za west=maendeleo ya kasi
 
Kweli wewe utakuwa masikini wa akili Sasa huto tujumba ndo umeona kitu Cha kijufunza
Wewe mwenye akili Per capital Yako ni nusu ya wazee wa madrasa wasio na akili😆😀😅😀,......mpumbavu wewe
 
Attachments

  • Screenshot_20250109-113953.png
    Screenshot_20250109-113953.png
    151.5 KB · Views: 2
  • Screenshot_20250109-113931.png
    Screenshot_20250109-113931.png
    135.9 KB · Views: 2
Ni fikra zako, lakini ukweli utabaki palepale... Huwezi fananisha eneo ambalo ukubwa wake ni aawa na mkoa ama wilaya moja TzBara dhidi ya TzBara kwa ujumla ambayo ina mikoa zaidi ya 21 na yote inataka maendeleo
Mbona hakuna huko mkoa mmoja wenye per capital kubwa kuliko Zanzibar?
 
Tanzania ni nchi moja, wenzetu Wazanzibar wakiendelea itakuwa na influence hata Bara kuendelea, nadhani ni vizuri ku appreciate maendeleo ya wenzetu.
 
Watanganyika wao wanaona fahari kutawaliwa na Mzanzibari na wengine wanatamani ikiwezekana watawaliwe hadi 2035.
 
Hata hivyo lisingekuwa koti la Muungano linalowabana huenda wangekuwa mbali!
Kama wanaruhusiwa kumilki ardhi bara lakini Mbara asiruhusiwe kumilki ardhi huko kwao kwa nini wasituzidi akili?
 
Vinaibiwa bara ,kupelekwa visiwani,baadaye,tutakwenda kule kuomba msaada kuleta msaada Bara.
 
Back
Top Bottom