Si zaidi ya Miaka 20 Ijayo, Tanzania Bara tutaenda kujifunza Zanzibar namna ya kutumia akili kufanya maendeleo

Kweli hatuna ila wewe ni zadi. Tanzania bara sijawahi kuiona ktk ramani yoyote ya dunia. Nimewahi kuona Tanganyika, Zanzibar na Tanzania.
 
Zanzibar ndio wapi huko????





..Ni Hayo Tu!!
 
Kinachofanya Zanzibar iendelee ni ule uislam wao,........ukifuata maisha yanavotaka kadri Quran inavosema hata kama hauna akili utaonekana Genius
1. Zanzibar matokeo ya form 4/6 yakitoka wanachekwa kua wamefeli,shule moja ya Kilimanjaro ama Bukoba Ina division 1 mara 20 ya zanzibar yote,ila linapokuja suala la kutumia akili jamaa wapo mbele ya muda
2.kipindi Nyerere anakenua meno kusaini muungano na master degree yake,Karume akiwa hajui kusoma akaweka deal kua rasilimali za Zanzibar zibaki Zanzibar za Tanganyika ni za kwetuπŸ˜πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜†
3.Zanzibar wanapiga vita sana culture tofauti nje ya uislamπŸ˜πŸ˜€πŸ˜†,maana wanajua watakuja viongozi ambao wapo tayari wanawake wajane wasiolewe ila watu wawe wazinzi,Sheria ya mke mmoja ni kwa wapumbavuπŸ˜†πŸ˜†,wapo tayari watu wanywe pombe ila wasileweπŸ˜πŸ˜ƒπŸ˜†,......watakuja watu wakusanye pesa za raia kwenye nyumba za Ibada wazitumie Vatican huko na kujinunulia mandinga makali,
4.Per capital ya Zanzibar ni 2.5 ukilinganisha na bara,
5.Zanzibar inaongoza kufeli form four na six ila ina madaktari wengi sana ukilinganisha na sehemu yeyote ile yenye watu 2M kwenye hii nchiπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜‚,........
6.Kipindi Samia anatia sign ya kuuza rare minerals kwa 16%,.........waislam WA Zanzibar kama TU walivo wa saudia,Iraq ama Algeria hawawezi kubali huo ufala
Yes upo sahihi,uislam usioingiliwa na propaganda za west=maendeleo ya kasi
 
Kweli wewe utakuwa masikini wa akili Sasa huto tujumba ndo umeona kitu Cha kijufunza
Wewe mwenye akili Per capital Yako ni nusu ya wazee wa madrasa wasio na akiliπŸ˜†πŸ˜€πŸ˜…πŸ˜€,......mpumbavu wewe
 

Attachments

  • Screenshot_20250109-113953.png
    151.5 KB · Views: 2
  • Screenshot_20250109-113931.png
    135.9 KB · Views: 2
Ni fikra zako, lakini ukweli utabaki palepale... Huwezi fananisha eneo ambalo ukubwa wake ni aawa na mkoa ama wilaya moja TzBara dhidi ya TzBara kwa ujumla ambayo ina mikoa zaidi ya 21 na yote inataka maendeleo
Mbona hakuna huko mkoa mmoja wenye per capital kubwa kuliko Zanzibar?
 
Tanzania ni nchi moja, wenzetu Wazanzibar wakiendelea itakuwa na influence hata Bara kuendelea, nadhani ni vizuri ku appreciate maendeleo ya wenzetu.
 
Watanganyika wao wanaona fahari kutawaliwa na Mzanzibari na wengine wanatamani ikiwezekana watawaliwe hadi 2035.
 
Hata hivyo lisingekuwa koti la Muungano linalowabana huenda wangekuwa mbali!
Kama wanaruhusiwa kumilki ardhi bara lakini Mbara asiruhusiwe kumilki ardhi huko kwao kwa nini wasituzidi akili?
 
Jiandaeni tu kusema siku moja kuwa Zanzibar huko nyuma ilikuwa nchi tuliyoizidi kiuchumi ila saivi wametuzidi kimaendeleo
Huwa unatoa wapi hii mikeka ya vichekesho???🀣🀣🀣🀣🚴🚴
 
Vinaibiwa bara ,kupelekwa visiwani,baadaye,tutakwenda kule kuomba msaada kuleta msaada Bara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…