Siamini....Bibi kumbe member JF!!

Siamini....Bibi kumbe member JF!!

Wajukuu zangu kwa ujumla salamu,

Napenda kuwafahamisheni wajukuu watiifu na wakorofi kwa ujumla kuwa bibi yenu ni member wa JF lakini babu mimi sikuwa najua....Leo ndio nimejua rasmi.

Sasa wale mabinti mliokuwa mnaniPM kuhusu mambo ya kudumisha mila kaeni chonjo, mwenye nyumba yuko sebuleni. Msimwambie yale mambo ya ISC tafazali, alikuwa hajajiunga wakati nikiwa mfadhili mkuu wa chama.

Bibi popote ulipo nakuomba ujitambulishe wajukuu wakujue.

Wenu katika kuijaza dunia

Babu Aspirin a.k.a Big Braza ODM
Kaunta ya Juu Club Etienne's
Boko- Basihaya.
Ahahahahahah, bibi alishachelewa, wenyewe tunakugawana tunavyotaka[emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Wajukuu zangu kwa ujumla salamu,

Napenda kuwafahamisheni wajukuu watiifu na wakorofi kwa ujumla kuwa bibi yenu ni member wa JF lakini babu mimi sikuwa najua....Leo ndio nimejua rasmi.

Sasa wale mabinti mliokuwa mnaniPM kuhusu mambo ya kudumisha mila kaeni chonjo, mwenye nyumba yuko sebuleni. Msimwambie yale mambo ya ISC tafazali, alikuwa hajajiunga wakati nikiwa mfadhili mkuu wa chama.

Bibi popote ulipo nakuomba ujitambulishe wajukuu wakujue.

Wenu katika kuijaza dunia

Babu Aspirin a.k.a Big Braza ODM
Kaunta ya Juu Club Etienne's
Boko- Basihaya.
ID ya Bibi ilikuwa ipi wakati unamtambulisha?
 
Back
Top Bottom