Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,677
- Thread starter
-
- #41
Unajua Naantombe ni salama kwa kikwetu.. Yaani nikisema kwa mfano.. Naantombe Genta.. ni sawa sawa na nimesema Umeamkaje Genta... Ukiieleta kwa kiswahili ndo hapo kunakuwa na ukakasi ila kwa maana halisi ya neno lenyewe wala halina utovu wowote wa nidhamu.. Binafsi Naantombe nimelifanyia usanifu tu ila Mushi kweli ni Surname yangu
Mkisema chura analiwa kwa kondom mtagombana na wachina.Usisahau kondom tu...
Hahahah kwenu ni wapi Sky Eclat? Maana kwa waswahili kweli najua nakosa mkeDu imagine ndiyo mchumba, unamtambulisha nyumbani huku kwetu, anaitwa Bwana N Mushi.
Kwamtogole.Hahahah kwenu ni wapi Sky Eclat? Maana kwa waswahili kweli najua nakosa mke
Tubaaa mayo..... Yaani hivo hivo mkuu... kama ulikuwepo leo yani..unaongelea hii meli iliyoti nanga?
Mkuu Giuseppe, ndom inahusika sana kwa mizigo kama hii... Principle yangu moja, kama umemuona mkali wewe sio wa kwanza.. Wengi wamemuona na wameomba wakapiga kama wewe.. so sio salama sanaMkisema chura analiwa kwa kondom mtagombana na wachina.
Itabidi uwaeleweshe basi maana ya Naantombe kwanza.. sio matusi ni salamuKwamtogole.
Hahahaha neema za nani tena?.... Hapo nyumba kwanini nisiuze?Duuh haya bwana....."tupewe nini sisi".
Maneno ya shekh kipozeo sio yangu.
Tayari nshakula mkuu...Mkuu upo Korea au China naskia wanakula sana chura mpaka snake hasa black mamba na vinyonga jitahid upige na hao ukirudi tupe mrejesho mkuu wangu...
Aseeh
unaongelea hii meli iliyoti nanga?
Astakafulilahi!!!!!! Halafu ' Kitu ' kimenona kabisa namna hiyo uniambie nitumie ' Ndom ' shabash.
Mi nikiona mzigo km huo hata km na drive inabidi nipaki maana huwa napoteza network kwa mudaAstakafulilahi!!!!!! Halafu ' Kitu ' kimenona kabisa namna hiyo uniambie nitumie ' Ndom ' shabash.
Hapa kunani swahiba?