Siamini hii chura naila kesho.. Swalalaahh

Siamini hii chura naila kesho.. Swalalaahh

Kwahiyo na Mimi nikijiita labda Naantombe Mussolin5 au Naantombe Nifah au Naantombe kadoda11 au Naantombe Sky Eclat au Naantombe mshana jr itakuwa ' poa ' tu Mkuu? Naomba ' ufafanuzi ' wako uliotukuka tafadhali juu ya hili.
Unajua Naantombe ni salama kwa kikwetu.. Yaani nikisema kwa mfano.. Naantombe Genta.. ni sawa sawa na nimesema Umeamkaje Genta... Ukiieleta kwa kiswahili ndo hapo kunakuwa na ukakasi ila kwa maana halisi ya neno lenyewe wala halina utovu wowote wa nidhamu.. Binafsi Naantombe nimelifanyia usanifu tu ila Mushi kweli ni Surname yangu
 
38f3f44c97ebfeafe79792a2ba440b34.jpg
unaongelea hii meli iliyoti nanga?
Tubaaa mayo..... Yaani hivo hivo mkuu... kama ulikuwepo leo yani..
 
Mkisema chura analiwa kwa kondom mtagombana na wachina.
Mkuu Giuseppe, ndom inahusika sana kwa mizigo kama hii... Principle yangu moja, kama umemuona mkali wewe sio wa kwanza.. Wengi wamemuona na wameomba wakapiga kama wewe.. so sio salama sana
 
Back
Top Bottom