Siamini kama ayatollah khamei anaongoza vita na israel

Hv huwa hawaachii madaraka mpaka wafe ndo apatikane mwingine au?

halafu si ana changamoto ya afya huyu?
Ni mzee sana,pia miaka ya nyuma alinusurika kuuawa kwa bomu,lakini mkono wake wa kulia ulilipuliwa
 
Amri na kuongoza majeshi ni mambo mawili tofauti.

Raisi wa nchi ni Mkuu wa Majeshi lakini haina maana anajua ndege inaruka masafa mangapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…