Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Tulikuwa na rais kichaa ambaye aliwahi kutamka hadharani kuwa "mmi sishauriki, ten ukinishauri ndiyo unaharibu kabisa"Kuna uwezekano mkubwa kwamba either serikali haina wataalamu wa kuishauri au ina wataalamu lakini inapuuza ushauri wao.
Inasikitisha sana na gesi kapewa mchinaTulikuwa na rais kichaa ambaye aliwahi kutamka hadharani kuwa "mmi sishauriki, ten ukinishauri ndiyo unaharibu kabisa"
Huyu ndiye aliyeanza kumwaga mipesa kwenye mradi uliopitwa na zama wa kuzalisha umeme kwa maji. Mama anaingia madarakani tayari mipesa mingi imefukiwa pale. Anachofanya mama ni kuendelea kuimwaga mipesa ili walau turudishe hata 1 ya 10 ya mipesa iliyomwagwa pale.
Lkn kiukweli kwa mabadiliko ya tabia nchi yaliyoikumba dunia kujenga bwawa ni ushamba, upumbavu na kupoteza fedha. Dunia imehama huko hivi Sasa, ipo kwenye solar energy,, wind energy, geothermal energy, wave energy na nuclear energy.
🤣🤣🤣Tulikuwa na rais kichaa ambaye aliwahi kutamka hadharani kuwa "mmi sishauriki, ten ukinishauri ndiyo unaharibu kabisa"
'Mjenzi' alijua vizuri 10% ya kwenye kujenga bwawa ni nono, hakuwa na haja ya kutafuta source ya kupata umeme rahisi au efficient zaidi.Tulikuwa na rais kichaa ambaye aliwahi kutamka hadharani kuwa "mmi sishauriki, ten ukinishauri ndiyo unaharibu kabisa"
Huyu ndiye aliyeanza kumwaga mipesa kwenye mradi uliopitwa na zama wa kuzalisha umeme kwa maji. Mama anaingia madarakani tayari mipesa mingi imefukiwa pale. Anachofanya mama ni kuendelea kuimwaga mipesa ili walau turudishe hata 1 ya 10 ya mipesa iliyomwagwa pale.
Lkn kiukweli kwa mabadiliko ya tabia nchi yaliyoikumba dunia kujenga bwawa ni ushamba, upumbavu na kupoteza fedha. Dunia imehama huko hivi Sasa, ipo kwenye solar energy,, wind energy, geothermal energy, wave energy na nuclear energy.
Waume zako wazungu bado wanajenga mabwawa ya umeme, unafikiri hawajui kwamba bwawa la maji ya kuzalisha umeme yamepitwa na wakati?Tulikuwa na rais kichaa ambaye aliwahi kutamka hadharani kuwa "mmi sishauriki, ten ukinishauri ndiyo unaharibu kabisa"
Huyu ndiye aliyeanza kumwaga mipesa kwenye mradi uliopitwa na zama wa kuzalisha umeme kwa maji. Mama anaingia madarakani tayari mipesa mingi imefukiwa pale. Anachofanya mama ni kuendelea kuimwaga mipesa ili walau turudishe hata 1 ya 10 ya mipesa iliyomwagwa pale.
Lkn kiukweli kwa mabadiliko ya tabia nchi yaliyoikumba dunia kujenga bwawa ni ushamba, upumbavu na kupoteza fedha. Dunia imehama huko hivi Sasa, ipo kwenye solar energy,, wind energy, geothermal energy, wave energy na nuclear energy.
Angalau umeme hata uwe wa uhakika kipindi cha masika,Tulikuwa na rais kichaa ambaye aliwahi kutamka hadharani kuwa "mmi sishauriki, ten ukinishauri ndiyo unaharibu kabisa"
Huyu ndiye aliyeanza kumwaga mipesa kwenye mradi uliopitwa na zama wa kuzalisha umeme kwa maji. Mama anaingia madarakani tayari mipesa mingi imefukiwa pale. Anachofanya mama ni kuendelea kuimwaga mipesa ili walau turudishe hata 1 ya 10 ya mipesa iliyomwagwa pale.
Lkn kiukweli kwa mabadiliko ya tabia nchi yaliyoikumba dunia kujenga bwawa ni ushamba, upumbavu na kupoteza fedha. Dunia imehama huko hivi Sasa, ipo kwenye solar energy,, wind energy, geothermal energy, wave energy na nuclear energy.
Tunajenga bwawa la kuhifadhi maji takribani ujazo zaidi ya billion.Wote tunajua bwawa hili linatumia maji ya mto/mito kama yalivyo mabwawa mengine tuliyo nayo hapa nchini.
Na kutokana na tatizo la mvua kwenye mabwawa yaliyopo tumekua tukiambiwa uzalishaji umeme umepungua kwasababu mvua zimepungua hivyo tujiandae kwa mgao.
Swali la kujiuliza ni hili..
Kwa uwepo wa mabadiliko ya tabia ya nchi na kutokana na ukweli kwamba bwawa la "stigler gorge" nalo linategemea mito/mvua je siku mvua zikipungua hatutakua na tatizo la mgao wa umeme?
NB: Hapa ninapoandika hii posti TANESCO wamekata umeme na simu ina 8% tu.
Hakuna umeme rahisi na efficient zaidi ya umeme wa maji na nyuklia... asiwadanganye mtu'Mjenzi' alijua vizuri 10% ya kwenye kujenga bwawa ni no, hakuwa na haja ya kutafuta source ya kupata umeme rahisi au efficient zaidi.
HALIMALIZI KAMWE NCHI YA KISWAHILI SANAWote tunajua bwawa hili linatumia maji ya mto/mito kama yalivyo mabwawa mengine tuliyo nayo hapa nchini.
Na kutokana na tatizo la mvua kwenye mabwawa yaliyopo tumekua tukiambiwa uzalishaji umeme umepungua kwasababu mvua zimepungua hivyo tujiandae kwa mgao.
Swali la kujiuliza ni hili..
Kwa uwepo wa mabadiliko ya tabia ya nchi na kutokana na ukweli kwamba bwawa la "stigler gorge" nalo linategemea mito/mvua je siku mvua zikipungua hatutakua na tatizo la mgao wa umeme?
NB: Hapa ninapoandika hii posti TANESCO wamekata umeme na simu ina 8% tu.
Mtu yoyote anayetaja Solar Energy na wind Energy basi anathibitisha uelewa mdogo kwenye masuala ya nishati na sayansi.Tulikuwa na rais kichaa ambaye aliwahi kutamka hadharani kuwa "mmi sishauriki, ten ukinishauri ndiyo unaharibu kabisa"
Huyu ndiye aliyeanza kumwaga mipesa kwenye mradi uliopitwa na zama wa kuzalisha umeme kwa maji. Mama anaingia madarakani tayari mipesa mingi imefukiwa pale. Anachofanya mama ni kuendelea kuimwaga mipesa ili walau turudishe hata 1 ya 10 ya mipesa iliyomwagwa pale.
Lkn kiukweli kwa mabadiliko ya tabia nchi yaliyoikumba dunia kujenga bwawa ni ushamba, upumbavu na kupoteza fedha. Dunia imehama huko hivi Sasa, ipo kwenye solar energy,, wind energy, geothermal energy, wave energy na nuclear energy.
Asante kwa ElimuBwawa Namna Lilivyojengwa Ni Suluhisho Kwa Tatizo La Umeme Tanzania Yote
Maana Ujenzi Wake Linaweza Kutunza Maji Yake Msimu Mmoja Wa Mvua Mpaka Mwingine Huku Likifanya Uzalishaji Kila Siku Bila Tatizo Lolote
*Angalizo Tu Ambalo Ni Chachu Ila Ndiyo Ukweli
Viongozi Na CCM Hawawezi Kukubali Umeme Upatikane Nchi Yote
Mfano Sasa Wamesema Bei Haishuki, Wakati Jiwe Alisema Tutaupata Kwa Bei Nafuu
Tanzania Viongozi Na CCM Hawataki Watu Wapate Raha
Hatuongelei wazungu tunaongelea Tanzania. Mazingira ya wazungu ni tofauti na yetu.Waume zako wazungu bado wanajenga mabwawa ya umeme, unafikiri hawajui kwamba bwawa la maji ya kuzalisha umeme yamepitwa na wakati?
Canada's large hydro projects inch toward completion with bleak prospects
Two of the three large projects, years behind schedule and billions over budget, may finally reach commercial operation in 2021.www.spglobal.com
China's new mega hydropower station put into operation
After a 72-hour trial operation, the first unit of Wudongde Hydropower Station, China's fourth-largest and the world's seventh-largest hydropower project, was officially put into operation on Monday.news.cgtn.com