Siamini kama bwawa la "stigler gorge" litamaliza tatizo la mgao wa umeme nchini

Siamini kama bwawa la "stigler gorge" litamaliza tatizo la mgao wa umeme nchini

Tulikuwa na rais kichaa ambaye aliwahi kutamka hadharani kuwa "mmi sishauriki, ten ukinishauri ndiyo unaharibu kabisa"

Huyu ndiye aliyeanza kumwaga mipesa kwenye mradi uliopitwa na zama wa kuzalisha umeme kwa maji. Mama anaingia madarakani tayari mipesa mingi imefukiwa pale. Anachofanya mama ni kuendelea kuimwaga mipesa ili walau turudishe hata 1 ya 10 ya mipesa iliyomwagwa pale.

Lkn kiukweli kwa mabadiliko ya tabia nchi yaliyoikumba dunia kujenga bwawa ni ushamba, upumbavu na kupoteza fedha. Dunia imehama huko hivi Sasa, ipo kwenye solar energy,, wind energy, geothermal energy, wave energy na nuclear energy.
Bila shaka utakuwa shoga au msagaji wewe...

Ndegeresi
 
Hivi unajua maji yanatumika kuzalisha huo umeme sio kwamba yanayeyuka bali yanaendelea na safari kutumika pengine ?

Kwa ufupi kabla ya kukosa umeme na kutumia mishumaa ukame na tatizo la Tabia nchi tutakufa kwa kukosa fresh water (Hivyo cha muhimu tunzeni mazingira)

Na kutokumalizika kwa mgao sio sababu ya production kutokuongezeka bali matumbo ya walamba asali hayana haya....

Hata umeme wote wa duniani ukielekezwa Tanzania with the current administration bado kutakuwa na mgao
 
Let the deceased continue resting in eternal peace
Which peace are you referring to?? Jiwe to continue resting in peace , after all the killings, torture and kidnappings he did when in power??

Maybe you meant "he should continue resting in pieces" not peace.
 
Umejenga hoja kijinga kweli. Hujafikiria kwamba nchi nyingi zinaathiriwa na jiografia. Sayansi gani unayo kichwani kwa kichekesho hiki ulichoandika??

Mm nilidhani unakuja na hoja za kisayansinkuoneaha udhaifu wa nishati ya solar na wind. Kumbe unaandika upuuzi.

Kwa nini Egypt walijenga bwawa wakati zaidi ya 60% ya nchi ni Jangwa?

Na unajua Majangwa yote Duniani yametoka miaka zaidi ya laki iliyopita?
 
Kwa nini Egypt walijenga bwawa wakati zaidi ya 60% ya nchi ni Jangwa?

Na unajua Majangwa yote Duniani yametoka miaka zaidi ya laki iliyopita?
Egypt hawajajenga leo hilo bwawa, Hilo ufahamu. Halafu wao hawategwmei mvua, wanategemea maji ya mto Nile.

Katikati ya shida ya tabia nchi inayoikabili dunia hivi sasa ni mpumbavu tu kama jiwe ndiyo anaweza kuwaza kujenga bwawa la kuzalisha umeme kuwa ndiyo suluhisha la tatizo la umeme
 
Wewe jamaa ni kilaza sana,

bwawa la Misri linategemea mto Nile ambao source yake ni blue na white nile.

Blue nile source yake ni Ethiopia na milima tofauti ambayo maji yake ni chemi chemi na mvua na tributaries ndogo ndogo.

Bwana la mwalimu Nyerere linajengwa kwenye bonde ambalo source yake mto Rufiki na mito midogo midogo
 
Ukiwa na ubongo mdogo kama uduvi huwezi kuelewa mambo makubwa yanayoandikwa na Great Thinker kama mimi?

Hoja ni kwamba "zama hizi dunia inakabiliwa na tatizo la tabia nchi"......ambapo patterns and amaout of rainfalls siyo predictable. Sijui utaelewa wewe mbwiga!!!?
 
Wewe ni kilaza sana...

Unajua kuwa dunia imewahi kuwa na Joto kuliko wakati huu, sababu zinazosababisha climate change, kunyesha mvua au kuonesha ziko nyingi sana, binadamu ni less significant hata leo tupigane vita ya nyuklia, hatuwezi kusababisha mvua zisinyeshe, ni kuwa maji yataganda tu
 
Hatuongelei wazungu tunaongelea Tanzania. Mazingira ya wazungu ni tofauti na yetu.

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Tafuta, soma, fanya utafiti.. hakuna umeme wa bei rahisi kama maji, pamoja na ukubwa wa teknolojia.. nchi zote kubwa duniani Hydro power ndio chanzo kikuu cha umeme, kwa mazingira ya Tanzania hakuna mbadala wake kwa sasa au kwa miaka karibu 30 ijayo.
 
Tulikuwa na rais kichaa ambaye aliwahi kutamka hadharani kuwa "mmi sishauriki, ten ukinishauri ndiyo unaharibu kabisa"

Huyu ndiye aliyeanza kumwaga mipesa kwenye mradi uliopitwa na zama wa kuzalisha umeme kwa maji. Mama anaingia madarakani tayari mipesa mingi imefukiwa pale. Anachofanya mama ni kuendelea kuimwaga mipesa ili walau turudishe hata 1 ya 10 ya mipesa iliyomwagwa pale.

Lkn kiukweli kwa mabadiliko ya tabia nchi yaliyoikumba dunia kujenga bwawa ni ushamba, upumbavu na kupoteza fedha. Dunia imehama huko hivi Sasa, ipo kwenye solar energy,, wind energy, geothermal energy, wave energy na nuclear energy.
Acha ujinga basi hivi uchawa unawasaidia nini nyie mbuzi? sasa kosa la Magufuli ni nini pale kwenye lile bwana?

Mtu ameanzisha kitu kizuri halafu mnashindwa kupaform kwenye implementation halafu unaenda kumlaumu marehemu bila hatia mtu ameshajifia.
 
Wote tunajua bwawa hili linatumia maji ya mto/mito kama yalivyo mabwawa mengine tuliyo nayo hapa nchini.

Na kutokana na tatizo la mvua kwenye mabwawa yaliyopo tumekua tukiambiwa uzalishaji umeme umepungua kwasababu mvua zimepungua hivyo tujiandae kwa mgao.

Swali la kujiuliza ni hili..

Kwa uwepo wa mabadiliko ya tabia ya nchi na kutokana na ukweli kwamba bwawa la "stigler gorge" nalo linategemea mito/mvua je siku mvua zikipungua hatutakua na tatizo la mgao wa umeme?

NB: Hapa ninapoandika hii posti TANESCO wamekata umeme na simu ina 8% tu.
Mgao utaisha ila katika katika ya umeme haiwezi kuisha
 
Hilo bwawa halipo Tz labda ulaya,sisi bwawa letu ni Nyerere na tuwe na subira nalo maana likijengwa kijinga likabomoka na hali itakuwa sio!! Subira ni ibada
 
Ukiwa na ubongo mdogo kama uduvi huwezi kuelewa mambo makubwa yanayoandikwa na Great Thinker kama mimi?

Hoja ni kwamba "zama hizi dunia inakabiliwa na tatizo la tabia nchi"......ambapo patterns and amaout of rainfalls siyo predictable. Sijui utaelewa wewe mbwiga!!!?
Mke wa wazungu kwenye ubora
 
Kwa wanaochukia mabwawa ya maji kutumika kuzalisha umeme, niwashauri watulie tu, sababu yanakuja mengine ya kutosha baada ya hili la Mwalimu Nyerere.
1. Lipo linalojengwa Makete/Kyela sasa hivi wananchi wanalipwa fidia kupisha mradi
2. Lipo la Ruhuji njombe, nalo tayari kila kitu kiko sawa
3. Rusumo/Mwengwa na nk nk
Hatuna jinsi ya kuto kuvuna rasilimali hii, Nchi yetu inahitaji umeme kutoka kwenye kila chanzo halali ili tuweze kujitegemea kwenye uhitaji wa umeme.
 
Kuna uwezekano mkubwa kwamba either serikali haina wataalamu wa kuishauri au ina wataalamu lakini inapuuza ushauri wao.
Mkuu watalaam wapo, wanashauri sana na kipindi hiko cha Mwendazake nina ushahidi jinsi walivyishauri na kilichowakuta.

Motivation kubwa ya Mwendazake kusukuma mradi wa Stigler ni ukubwa wa 10% ambayo aliipata kwa ajili ya kufinance na kufacilitate mpango wake wa kubadili katiba kuondoa ukomo wa urais ili atawale bila ukomo kama Museveni!

Bila 'divine' intervention it was a done deal!
 
Akili huna, kwa hyo Ethiopia kujenga bwawa kubwa kabisa la kuzalisha umeme ni wajinga? Haya huyo kikwete wako alieanzisha mradi wa gesi huko mnazi bei na kutuambia tunanunua gesi kwa bei ya chini na gesi itafanya umeme usikatike yako wapi? Yani Kuna vimtu vinajifanya vigreat thinker rrrr kumbe ni tope. Babako kikte aliuza hadi madini ya uranium, akagawa gesi ya mtwara ambapo kwasasa hatuna say yoyote kule na wala hatusogelei kule, haitoshi akaingia mikataba ya kiwehu hapo bandari ya bagamoyo. Afu leo masikini ww na njaaa zako na elimu yako ya makaratasi unakuja kekekeeeee. John mpinge kwa mengine Ila sio swala la miradi.
Umenena !
 
Tulikuwa na rais kichaa ambaye aliwahi kutamka hadharani kuwa "mmi sishauriki, ten ukinishauri ndiyo unaharibu kabisa"

Huyu ndiye aliyeanza kumwaga mipesa kwenye mradi uliopitwa na zama wa kuzalisha umeme kwa maji. Mama anaingia madarakani tayari mipesa mingi imefukiwa pale. Anachofanya mama ni kuendelea kuimwaga mipesa ili walau turudishe hata 1 ya 10 ya mipesa iliyomwagwa pale.

Lkn kiukweli kwa mabadiliko ya tabia nchi yaliyoikumba dunia kujenga bwawa ni ushamba, upumbavu na kupoteza fedha. Dunia imehama huko hivi Sasa, ipo kwenye solar energy,, wind energy, geothermal energy, wave energy na nuclear energy.
[emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]
 
Back
Top Bottom