Siamini kama Hamisa Kamaanisha

Miaka 2 unapunguziwa 1/3 ya adhabu na ukitumikia kipindi fulani unamuomba mzee Lyatonga akuruhusu ukatumikie nje adhabu yako.
Lakini ndo Tanzania imesimama kwa ajili hii
 
Umewaza very deeply...

Unafiki uliotukuka huo.
umeona eeh mkuu.. hata kama kaumia angekaa kimya sisi watazamaji tunaona anaigiza kabisa ingawa anaeza kuwa kaumia kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…