Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi na kwa kuwa daddy kasema anakuja inaweza kuwa hivi. Mi namuombea sana atoke imetosha alichokipitia hii miaka mitanoMiaka 2 unapunguziwa 1/3 ya adhabu na ukitumikia kipindi fulani unamuomba mzee Lyatonga akuruhusu ukatumikie nje adhabu yako.
Lakini ndo Tanzania imesimama kwa ajili hii
Katika matatizo tunaoneana huruma.![]()
Hainingii akilini kabisa kama Hamisa anaweza kumuonea huruma Lulu to zis extent...
Mimi mpk saa tisa jion nliona kitu cha kawaida ila mda mfupi nimeangalia newz nimeumia haswaaKwa swala la lulu kwa sasa linahitaji kuweka tofauti zao pemben na kuombena mema.
Jela mpasikie tuu. Sio pazuri kabisa
Hapana lulu yuko in hard time heri nusu Shari!Inawezekana ila angekaa tu hata kimya, maana alikua ana hasira nae sana baada ya kumpindua kwa baba Fancy
Mimi mpk saa tisa jion nliona kitu cha kawaida ila mda mfupi nimeangalia newz nimeumia haswaa
Hapana lulu yuko in hard time heri nusu Shari!
Kabisa yaani the way anavyopanda karandinga(defender) nimejskia vbayaKweli moyo ni nyama congrats gene
Daah!polisi tena pale wao ndo mabosi aiseeeehh!Kuna video nimeiona mtandaon wakati anapanda gari alijikwaa ndan ya gar kwa kuharakishwa,ile anataka kukaa kwenye kiti polisi wakamzuia,sijui alijisikiaje maskin
Kabisa yaani the way anavyopanda karandinga(defender) nimejskia vbaya
Mimi mzazi najua uchungu wa mwana
Umeona eeehhh!!sympathy ya kinafki yumkini wapo wanaoshangilia kati yaoWameshindwa hata kwenda nae mahakamani halafu wanajitia wana uchungu nae..
Hiyo ndio acc ya Hamisa Og, itakua umemfollow kwa fake acc mkuu.Pamoja na kwamba nachukia unyakunyaku wa hamisa ila hapa namtetea. Hio sio account ya hamisa bali ni fan page. Account halisi ya hamisa kwenye mabeto haina double tt
Tumetofautiana.. mimi nimefurahi kiukweli sababu nilihisi angefungwa muda mrefu zaidiBora mie nnaesikitika Lulu kufungwa miaka miwili tu wakati nlikua nategeme kafungwa michache iwe japo saba au tisa...Ntasema kweli Daima unafiki kwanguuu mwiko