Siamini kama Hamisa Kamaanisha

Siamini kama Hamisa Kamaanisha

Miaka 2 unapunguziwa 1/3 ya adhabu na ukitumikia kipindi fulani unamuomba mzee Lyatonga akuruhusu ukatumikie nje adhabu yako.
Lakini ndo Tanzania imesimama kwa ajili hii
Basi na kwa kuwa daddy kasema anakuja inaweza kuwa hivi. Mi namuombea sana atoke imetosha alichokipitia hii miaka mitano
 
8ef72e82b98f7d6ad43e01243d44379f.jpg


Hainingii akilini kabisa kama Hamisa anaweza kumuonea huruma Lulu to zis extent...
Katika matatizo tunaoneana huruma.
mimi sio shabiki wa lulu lakini kutoka nafsini naumizwa na matatizo yake kwakweli.
jela sio mahala pazuri.. alipo hamisa ndipo alipo lulu, em fikiria leo mama lulu analalaje akifikiria mwanae kipenzi yuko mazingira ya jela? lulu leo analalaje? anawaza mangapi,anaumia kiasi gani?

lazima kama binadamu uweke mapungufu pembeni umuonee huruma...
Haina haja ya chuki kwani wote ni wanawake
 
Bora mie nnaesikitika Lulu kufungwa miaka miwili tu wakati nlikua nategeme kafungwa michache iwe japo saba au tisa...Ntasema kweli Daima unafiki kwanguuu mwiko
 
Bora mie nnaesikitika Lulu kufungwa miaka miwili tu wakati nlikua nategeme kafungwa michache iwe japo saba au tisa...Ntasema kweli Daima unafiki kwanguuu mwiko
Tumetofautiana.. mimi nimefurahi kiukweli sababu nilihisi angefungwa muda mrefu zaidi
 
Back
Top Bottom