Yaani mimi ningemchunia vibaya hata huko madale nisingefikaKwanza nilivyo bahili naanzaje kumpa hela mke mwenzangu si bora zile hela nikamnunulie boxer bwana wetu. Yani najua unapata zaidi bado nikuongezee? unafki ule siuwezi kwanza mtu tunaeshare bwana ukaribu au ushoga wa ninj
Kati ya watu wanafiki Watanzania tunaongoza;ukiondoa Cheni na Muna wengine sinema tu!ila nina uhakika Rufaa ikikatwa kwa hisani ya Bashite wataibuka kwa support
Ana mpaka picha?? mi nachojua yule bwana kampora kwa mke wake na kamfanyia visa mke mwenzie mlokole fake yule. Ukiona bongo movie anajitia low key ujue kuna bwana wa mtu kamshika sasa anaogopa kumuexposeIrene kuna sehemu niliziona picha zake akiwa naked nikajiuliza ni huyu huyu!!
Zuu alianza na Majizo. Sema nadhani mapenz yao yalikua ya no string attached ndo maana bwana alivyopanda dau kwa Hamisa akakubali hivyo hivyo kumtongozea japo alikua aumiaNani Zuu? Zuu alitaka kiki mbona aliulizwa na hamissa akabaki anajikanyaga kanyaga...maana Zuu ndiyo kiunganishi cha majay na hamiisa ujue
Lulu anapenda kuonekana tofauti ujue, utakuta deep down alikua anataka sana mtoto na Majizo ila anataka watu wamuone tofauti na Hamisa aliezaa bila ndoa, yeye alikua anataka ndoa kwa Majizo ndo azae
Basi ni ujinga wake Zuu kwa hapo Hamissa hana kosa, maana anasema alikua hajui kama Majay anatoka na Zuu.Zuu alianza na Majizo. Sema nadhani mapenz yao yalikua ya no string attached ndo maana bwana alivyopanda dau kwa Hamisa akakubali hivyo hivyo kumtongozea japo alikua aumia
Nani Zuu? Zuu alitaka kiki mbona aliulizwa na hamissa akabaki anajikanyaga kanyaga...maana Zuu ndiyo kiunganishi cha majay na hamiisa ujue
Mimi msimamo wangu huyu binti alistahili adhabu hata kama viboko illa naona limemeanza kuwa jambo la kisiasa na mama Kanumba anaonekana falaMbona washaibuka tayari kumuunga mkono mwana wa mfalme
Watu wana moyo unawezaje kumuanginishia rafiki yako kwa mtu unae-date nae? Hela ntakula na sikuunganishi!!!Pesa pesa tu. Mjini hapa bwana akimtaka shosti anaunganishiwa ili.mradi awe na pesa
Yani yule anajiona bado ni Tz sweetheart hajui umri unaenda. Ye akitoke fent fod roho nyeupeeee
Hata mimi nilietaka Lulu asihukumiwe sijapenda anachotaja kukifanya RC. Kama ana nia kweli angefanya kimya kimya tuMimi msimamo wangu huyu binti alistahili adhabu hata kama viboko illa naona limemeanza kuwa jambo la kisiasa na mama Kanumba anaonekana fala
Watu wana moyo unawezaje kumuanginishia rafiki yako kwa mtu unae-date nae? Hela ntakula na sikuunganishi!!!
Hawakuwa wanadate itakua Zuu alikua anamuelewa Maji ila maji alikua anakula kisela. We mwanaume anaekupenda anaweza kweli kukuomba umuunganishie mwanamke?Watu wana moyo unawezaje kumuanginishia rafiki yako kwa mtu unae-date nae? Hela ntakula na sikuunganishi!!!
Yule atakuja kufika 40yrs hawez hata kujilipia kodi ya laki 4 kwa maisha yake ya kuigiza. Sema tuishukuru CDM imembadilisha siku hizi kapunguza dramaNa anavyojisifia sasa kwenye kuipromoti application na support ya dada wa kujipachika lazima ajisahau