Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Umenielewa?Sio selfish,wema ambae anaunga mashoga kila siku kiko wapi na mashoga zake???snura,kajala,aunt wote chaliiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenielewa?Sio selfish,wema ambae anaunga mashoga kila siku kiko wapi na mashoga zake???snura,kajala,aunt wote chaliiii
Ndo jina lake aliiba chupi ya wema akapeleka kwa mganga[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] muna machupi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwizi haswaaa wa chini chini na ndo maana hataki ushoga maana hachelewi kukubebea haswa akiwa na pesa mondi mwenyewe kamla
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji109] [emoji2] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] daahZilikua fix tu zile. Kwanza alisema kainunua. Bongo movie mabingwa wa kuongeza sifuri
Atadoda pia mpuuzi yule anaacha kua km usipojipanga mwenzie sasa hv yuko mbaali
Mondi hakumtaka maana kipindi kile alikua na wema kwa mbaali!na lulu ka abort mimba ya majayIla najiuliza kwann hakutulia kwa mond au ndo kusema jamaa mbahili sana. Na mbona kwa majizo hakumuachia hata kamrithi jaman
Naikumbuka hiyo scandalNdo jina lake aliiba chupi ya wema akapeleka kwa mganga[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Msameheni madam lol![emoji4]
Niemkuelewa,ndio nikasema sio selfish yaani,better awe kivyake vyake sababu bongo movie hawana ushoga wale..wengi wanafki tuUmenielewa?
Mondi hakumtaka maana kipindi kile alikua na wema kwa mbaali!na lulu ka abort mimba ya majay
Na alivyo na tabia za kuwabeba watu wa wenzie ni bora aendelee hivyo hivyo .
kipindi katoka jela akanzishaa ushoga na husna mwisho akambebea Seki....lulu ni silent killer sana[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Muna naona ndiyo maana walishindwana na Wema, wote walikutana wanapenda kujiweka juu
Mimi nampenda ingawa kuna muda ananichosha...now nyota yake imefifia wema jamaniii...anapost insta comment chacheeeMadam alikua na jeuri yaan alifikia hatua ya kuombea zari afie leba aiseee
Mange anamchukiq Lulu sababu ya mdogo wake Wema na mdogo wake mpya wa hiyari Hamisa
Hapo sawa nimekuelewaNiemkuelewa,ndio nikasema sio selfish yaani,better awe kivyake vyake sababu bongo movie hawana ushoga wale..wengi wanafki tu
Nilishasahau unafki wake huo.Lol! Kama alieza kwenda kummwagia zari hela wakati wa 40 ya tiffah kumbe anamla kisogo analala na diamond na kutaka kumpindua, nini kikufanye uamini yuko sincere kwa lulu, hamisa MNAFIKI wa taifa! Ni nyoka mwenye simu kali haswaaaa!
[emoji2] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] mama wa marehemu loooh!mbona alitoa hadi ya kanumba gerezani kipind kileKhee kumbe ni ka mama ka marehemu. Kana kipaji cha kuua basi. Kutoa mimba hapana kwa kweli inahitaji ujasiri
Yaani kanapenda kutumia fursa kale katoto basi tu!!Basi watu aina ya lulu akianzisha ushost nawe jifikirie mara mbili mbili madhumun ya urafiki huo
Team Wema wanataka kujikosha wanaumia zaidi kufungwa kwa Lulu wengine hawatakiwi kuumia