Siamini kama Hamisa Kamaanisha

Siamini kama Hamisa Kamaanisha

[emoji1] [emoji1] [emoji1] muna machupii loooh!!ndo maana walishindwa kuelewana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] muna machupi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] shosti umemuona doggie masta22 kamchamba hamisa eti mnaafiki na kasema tukimzogoa atafungua file

[emoji1] [emoji1] wakat sasa kafulia hakuna anaemjua hana kick naona anatala kick ya kuuza nguo zake kashaona zinachundaa
Team Wema wanataka kujikosha wanaumia zaidi kufungwa kwa Lulu wengine hawatakiwi kuumia
 
Huyo doggy anachekesha alipewa ushauri na dongo juu na milly akapanic.

Sasa akifungua faili la hamisa anadhan atapata support ya team zari ambao wapo upande wa lulu hapo atakua kachemsha maana hakuna aliyesahau matusi ya doggy ya udhalilishaji mno.
Mange mwenyewe anataman ashangilie kwa post maana anamchukia lulu kinyama,katoto kadogo kanapendeza kumzidi yeye aliye ulaya
Mange anamchukiq Lulu sababu ya mdogo wake Wema na mdogo wake mpya wa hiyari Hamisa
 
Yaani nimebaki nacheka tu, atleast Muna na lokole hawa nawaelewa walikua nae bega kwa bega.
Muna na Lokole kweli wameonyesha mshikamano sana, nakumbuka kipindi kile Lulu yuko mahabusu Muna alihangaika sana. Ila wengine pole za mitandaoni tu.
 
Team zari hawayumbishwii ht kidogoo kwa hapo kafulia tuu[emoji1] [emoji1] [emoji1] anapaswa apambane na hali zake

Team wema ndo ndo wapuuuzi hawana Dira
Asipojiangalia atachunda na nguo zake
Hivi ni nzuri?? maana hata sijaziona
 
Wamemchoka,kwanza wameona ile nyota walitokua wanaisifia imefifia kama sio kupotea pili hana jipya mjini.(walitaman apate mwanaume mwenye hela waringishie timu nyingine,ndoto haijatimia miaka)
Shoga aliyafanya...
Team wema walikuwa hatari,ukimjibu mmoja wote wanakuchamba mpaka unatamani kufa. Kikowapi siku hizi,wengine wanajiengua wenyeweee
 
Enzi za SK wema alikua na jeuri sana anapiga watu club huku akijitapa maneno ya unajua mimi ni nani nchi hii. Mchokoze kidogo anakubandika kwa team yake full kuoga matusi. Wale mbwa hadi nguo na pafyum wakanunuliwa
Zilipendwa sasa hivi anayatamani yale maisha ila ndo alimtafutia baba wa watu matatizo
 
Best nakuona, upokonywe bwana...vijembe upigwe mitandaoni halafu baadae usikie aliesababisha kapata tatizo kwa asili yetu wanawake lazima utatoa meno 32 nje...hamissa hapo hajamaniisha
Kweli hata ingekua mimi furaha ingezidi huzuni..
 
Ushoga wa wema ni hatari,hadi chumban kwako atataka aingie na kuchukua akitakacho.au ukaishi kwake na mvae sare. Check alivyokua karibu na petit alimvuruga sana esma. Maana petit kutwa nzima kwa wema,kulala,kula etc
Sio selfish,wema ambae anaunga mashoga kila siku kiko wapi na mashoga zake???snura,kajala,aunt wote chaliiii
 
Na alivyo na tabia za kuwabeba watu wa wenzie ni bora aendelee hivyo hivyo .

kipindi katoka jela akanzishaa ushoga na husna mwisho akambebea Seki....lulu ni silent killer sana[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Muna naona ndiyo maana walishindwana na Wema, wote walikutana wanapenda kujiweka juu
Mwizi haswaaa wa chini chini na ndo maana hataki ushoga maana hachelewi kukubebea haswa akiwa na pesa mondi mwenyewe kamla
 
Back
Top Bottom