Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,512
- 23,925
Kweli hii, niliona kipindi kile katoka jela alikua kama anampotezea hivi sema Muna akawa bado ana ile kumfuatilia fuatilia!Muna anampenda sana lulu ila lulu ndo hataki ushoga na anamkwepa haswaa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli hii, niliona kipindi kile katoka jela alikua kama anampotezea hivi sema Muna akawa bado ana ile kumfuatilia fuatilia!Muna anampenda sana lulu ila lulu ndo hataki ushoga na anamkwepa haswaa!
Yaani alikuwa anaandika na kufuta kutafuta maneno mazuri,nadhani katumia more than 1 hr kuiandaa hiyo caption. Maana anaandika kidogo anafuta,mara acheke hapo bado kuna mashost hajakaa nao karibu wapige vishoka wacheke halooooo za kwa nguvu. Mnafki tu,angenyamaza zake kimya kwani angeumwa!!!?Best nakuona, upokonywe bwana...vijembe upigwe mitandaoni halafu baadae usikie aliesababisha kapata tatizo kwa asili yetu wanawake lazima utatoa meno 32 nje...hamissa hapo hajamaniisha
Team zari hawayumbishwii ht kidogoo kwa hapo kafulia tuu[emoji1] [emoji1] [emoji1] anapaswa apambane na hali zake
Team wema ndo ndo wapuuuzi hawana Dira
Asipojiangalia atachunda na nguo zake
Msameheni madam lol![emoji4]Nakumbuka sana tu akapanga kwa milioni270
Ama kweli aliye juu mngoje chini kaaaah!
Leo wema hata gari hana
Tatizo la lulu ni selfishness hataki ushosti na wala time na wenziweKweli hii, niliona kipindi kile katoka jela alikua kama anampotezea hivi sema Muna akawa bado ana ile kumfuatilia fuatilia!
Anapenda kiki siku hizi na ndiyo alikua anakitaka kuwa midomoni mwa watuYaani alikuwa anaandika na kufuta kutafuta maneno mazuri,nadhani katumia more than 1 hr kuiandaa hiyo caption. Maana anaandika kidogo anafuta,mara acheke hapo bado kuna mashost hajakaa nao karibu wapige vishoka wacheke halooooo za kwa nguvu. Mnafki tu,angenyamaza zake kimya kwani angeumwa!!!?
Atadoda pia mpuuzi yule anaacha kua km usipojipanga mwenzie sasa hv yuko mbaaliNguo zenyewe uwiii bora nikasagule sagule mnadani. Zile nguo sio kabisa. Kafulia kama boss wake.
Cha kuchekesha baadhi team wema ndo team hamisa so doggy akianza ugomvi atachanganya wenzie
Kwa tabia za wasanii hasa wakike ni bora tu awe mbinafsiTatizo la lulu ni selfishness hataki ushosti na wala time na wenziwe
Ngoja tu tumuunganishe[emoji1] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji124] [emoji124]Msameheni madam lol![emoji4]
Ndo maana ht muna hamuaminiKwa tabia za wasanii hasa wakike ni bora tu awe mbinafsi
Muna anampenda sana lulu ila lulu ndo hataki ushoga na anamkwepa haswaa!
Kweli hii, niliona kipindi kile katoka jela alikua kama anampotezea hivi sema Muna akawa bado ana ile kumfuatilia fuatilia!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] muna machupii loooh!!ndo maana walishindwa kuelewanaMuna ana vitabia kama vya wema,maisha ya kuongozana kila kona,ubabe ubabe. Kujiweka juu mfano wema kila mtu anataka awe anamuita mama,muna anataka aitwe dada huku Lulu hapendi kujishusha maana anaona duniani hana dada
Na alivyo na tabia za kuwabeba watu wa wenzie ni bora aendelee hivyo hivyo .Muna ana vitabia kama vya wema,maisha ya kuongozana kila kona,ubabe ubabe. Kujiweka juu mfano wema kila mtu anataka awe anamuita mama,muna anataka aitwe dada huku Lulu hapendi kujishusha maana anaona duniani hana dada
Sio selfish,wema ambae anaunga mashoga kila siku kiko wapi na mashoga zake???snura,kajala,aunt wote chaliiiiTatizo la lulu ni selfishness hataki ushosti na wala time na wenziwe
Shoga aliyafanya...Enzi za SK wema alikua na jeuri sana anapiga watu club huku akijitapa maneno ya unajua mimi ni nani nchi hii. Mchokoze kidogo anakubandika kwa team yake full kuoga matusi. Wale mbwa hadi nguo na pafyum wakanunuliwa
Si queen of drama yule. Hajui kula akafuta mdomo, ye kila anachokula anataka tujue.Wema angejifunza kupitia lulu. Ka binti kanaiba mabwana za watu kimya kimya kanakula na kipofu kwa siri ila wema uwiiii matangazo mia kidogo na picha anavujisha mwenyewe ili aongelewe na kupaisha ka jina ka tzsweehat
Hivi Ulisoma ule ushauri wangu!Nimehisi hivyo yani kama kasema tutaona sasa kama akirudi wataendelea..
Yaani lulu nae nyakunyaku wa chini chini..Na alivyo na tabia za kuwabeba watu wa wenzie ni bora aendelee hivyo hivyo .
kipindi katoka jela akanzishaa ushoga na husna mwisho akambebea Seki....lulu ni silent killer sana[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Muna naona ndiyo maana walishindwana na Wema, wote walikutana wanapenda kujiweka juu