Siamini kama Hamisa Kamaanisha

Siamini kama Hamisa Kamaanisha

Umemsahau mama yake nae anaumia sana. labda rufaa kwa shart la kumtema kibatala. Si wajua makonda hapendi kushare sifa na mtu
Kati ya watu wanafiki Watanzania tunaongoza;ukiondoa Cheni na Muna wengine sinema tu!ila nina uhakika Rufaa ikikatwa kwa hisani ya Bashite wataibuka kwa support
 
Irene kuna sehemu niliziona picha zake akiwa naked nikajiuliza ni huyu huyu!!
Ana mpaka picha?? mi nachojua yule bwana kampora kwa mke wake na kamfanyia visa mke mwenzie mlokole fake yule. Ukiona bongo movie anajitia low key ujue kuna bwana wa mtu kamshika sasa anaogopa kumuexpose
 
Nani Zuu? Zuu alitaka kiki mbona aliulizwa na hamissa akabaki anajikanyaga kanyaga...maana Zuu ndiyo kiunganishi cha majay na hamiisa ujue
Zuu alianza na Majizo. Sema nadhani mapenz yao yalikua ya no string attached ndo maana bwana alivyopanda dau kwa Hamisa akakubali hivyo hivyo kumtongozea japo alikua aumia
 
Mie nilikua nadhan hivyo la hizi taarifa za abortion zimenishangaza. Duh ka binti kana mambo makubwa
Lulu anapenda kuonekana tofauti ujue, utakuta deep down alikua anataka sana mtoto na Majizo ila anataka watu wamuone tofauti na Hamisa aliezaa bila ndoa, yeye alikua anataka ndoa kwa Majizo ndo azae
 
Zuu alianza na Majizo. Sema nadhani mapenz yao yalikua ya no string attached ndo maana bwana alivyopanda dau kwa Hamisa akakubali hivyo hivyo kumtongozea japo alikua aumia
Basi ni ujinga wake Zuu kwa hapo Hamissa hana kosa, maana anasema alikua hajui kama Majay anatoka na Zuu.
 
Mjini hapa watu wanajali pesa zaidi maumivu atayasikilizia akiwa anahesabu minoti
Watu wana moyo unawezaje kumuanginishia rafiki yako kwa mtu unae-date nae? Hela ntakula na sikuunganishi!!!
 
Watu wana moyo unawezaje kumuanginishia rafiki yako kwa mtu unae-date nae? Hela ntakula na sikuunganishi!!!
Hawakuwa wanadate itakua Zuu alikua anamuelewa Maji ila maji alikua anakula kisela. We mwanaume anaekupenda anaweza kweli kukuomba umuunganishie mwanamke?
 
Na anavyojisifia sasa kwenye kuipromoti application na support ya dada wa kujipachika lazima ajisahau
Yule atakuja kufika 40yrs hawez hata kujilipia kodi ya laki 4 kwa maisha yake ya kuigiza. Sema tuishukuru CDM imembadilisha siku hizi kapunguza drama
 
Back
Top Bottom