Siamini kama Hamisa Kamaanisha

Doooh.. hivi kumbe zile story za kufumaniwa zilikuaga kweli??? basi boss wa efm kapenda kweli jamani kama mpaka kafumania na kasamehe?? shikamoo da Muna kumsaidia Lulu kumtuliza maji
Alihack simu ya lulu akajua kua analiwa na viben10 .

Lulu ni kamati ya ufundi waganga wooooote anawajua yy!
 
Wakili anasema lazima wakate rufaa au lulu apewe kifungo cha nje. Kinachochekesha ni kwamba mange hajui atoe dongo au akae kimya yaan yupo confused maana haelewi mashabiki wake watamchukuliaje akimnanga lulu kisa makonda kaahidi msaada
Ukielewa nielekeze
 
Alihack simu ya lulu akajua kua analiwa na viben10 .

Lulu ni kamati ya ufundi waganga wooooote anawajua yy!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] . Sasa alivikuta viben10 au alikuta baba zake? mtoto haridhiki yule jamani
 
Aaah hamna mwenye kile kitengo bongo zaidi yake na ukichanganya ana maji ya picha tena ndo basi tena... sema tukutane live sasa kama kale kashape kanaonekanaga unabaki kushangaa mbona insta shape mashallah live waona patupu
Yap lulu ni wa kawaida nshamuona kama mara3 enzi yuko below 18 and recently wala sio hvyooo
 
Yap lulu ni wa kawaida nshamuona kama mara3 enzi yuko below 18 and recently wala sio hvyooo
Mwenyewe nshamuona enzi zile kabla issue ya Kanumba nlishakutana nae maisha wa kawaida sema sura kajaaliwa ila umbo nashangaa kalitoa wapi sasa hiv
 
Washirikina wale kuna ishue mange anaijua Mimi naijua ila siwezi sema naogopa mwenzangu mambo ya lulu na uchawi (am sorry wale misukule wake)siku mange atalipukaa paaaaaap mtajua tu![emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Jamani jamani tupe tu. Ndo ile alisema kuhusu mke wa seth anakaa kimya?
 
Duh bora ukae nayo tu tusikupoteze nani sasa atamtetea hamisa huku. Napenda ubuyu wa juu juu ila ule wa siri uwiii nauogopa maana ni majanga tupu
Washirikina wale kuna ishue mange anaijua Mimi naijua ila siwezi sema naogopa mwenzangu mambo ya lulu na uchawi (am sorry wale misukule wake)siku mange atalipukaa paaaaaap mtajua tu![emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…