Siasa ndio ilimmaliza. We kwenda ku join kitu ambacho wengi hawakipendi ila team yako inaforce uonekane inakupendeza unadhani utabaki salama.Mimi nampenda ingawa kuna muda ananichosha...now nyota yake imefifia wema jamaniii...anapost insta comment chacheee
Angeshtuka.mapema.enzi zile yupo juu angelamba pesa kibao za matangazo kwa account yake hio ila ndo hivyo tena drama zikamnogea
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] kweli geni???? Basi zama nae anaziweza fitna. Maana alianzia kwa dina marios...ptuuuuuu ndio maana simuelewagi yule dada. Qkhaaaaaa. But naona ni mashoga now days.Idea ilikua ya Irene akamshirikisha zamaradi pale clouds bibie akaenda kuiongelea na ruge kitandani(hahaaa chumvi)bibie anashtka kipindi kimeanza katemwa
Geni dar. Mjue nyie nimepitwa jamaniiii mie na ubuyu hivi jomoni....Ngoja niwape kiduchu kifo cha seki wasn't coincedence at all even Seki's wife knows her husband would die anytime (sijui kingereza mmeeelewa mana mie pyua sayansi)
Ila wabongo kwa chumvi mnatisha!kwa hiyo kuna aina mbili za vifungo?Ha haYaani yule burizuzu kweli..kwanini,asimtoe kimya kimya akae zake kwao ajifungie tu ndani baada ya miaka atoke. Sema kama kafungwa ile ya usiku na mchana means atakaa mwaka 1 ila kama ni ya siku moja mchana tupu basi atakaa miaka yote mi2.
Yaani wambea wote insta,hakuna anaetaka akikosea aambiwe,utachambwa utalambwa block.Insta bana usikohoe tofauti wewe ni mdhambi aiseee angefungwa enzi uchungu wa msiba bado mkali angepata laana na matusi ya kila aina
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we wa wapi? Kaulize magereza utaelewaIla wabongo kwa chumvi mnatisha!kwa hiyo kuna aina mbili za vifungo?Ha ha
Kwann haikuingii akilini unafikiri wanawake wote wana roho mbaya wengine roho zetu za kizungu , hongera sana hamisa
Hainingii akilini kabisa kama Hamisa anaweza kumuonea huruma Lulu to zis extent...
Wapo ambao sio wanafiki mkuu mm binafsi cjaona alipokosea hamisa sema ss wenyewe ndo tushajijengea dhana hiyo kwahiyo lazma wanafiki wenzie wafikir ni unafikiWanawake ndo Viumbe pekee wanaoweza kuishi kinafiki kati yao na Maisha yakasonga kana kwamba Wanamanisha!!!
Rose Ndauka nae katema cheche zakeKabisa wale wote wanafiki tu. Bora idriss kasema ukweli kuhusu msiba wa kanumba ulivyomtouch na kuwa haki yake imepatikana. Wapo wengi walitaman waandike kama idriss..maisha ya Lulu wasanii wengi waliyataman sana
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji108] [emoji108] unafanyaje sasa!unasamehe tu life liendelee Yule fitna anaziweza[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] kweli geni???? Basi zama nae anaziweza fitna. Maana alianzia kwa dina marios...ptuuuuuu ndio maana simuelewagi yule dada. Qkhaaaaaa. But naona ni mashoga now days.
Sio usiku na mchana.. anakaa 2/3 ya miezi aliyohukumiwa maana ake atakaa mwaka mmoja na miezi minneYaani yule burizuzu kweli..kwanini,asimtoe kimya kimya akae zake kwao ajifungie tu ndani baada ya miaka atoke. Sema kama kafungwa ile ya usiku na mchana means atakaa mwaka 1 ila kama ni ya siku moja mchana tupu basi atakaa miaka yote mi2.
make kwenye besdei wishes alimwaga maneno matamu "baba fanta wewe ni baba bora tunakupenda" sahivi hashindwi kuvizia sperm za baba fanta ajibebeshe mimbaNdio.. na asivyoshindwa hakawii kubeba mtoto wa pili kumkomesha Lulu
Sijakuelewa hapa Numbisa....hebu nifafanulieWema ni kweli kabisa kafurahi,team wema waliweza mtukana yeyote insta wema kimya,ila akitukanwa lulu alikua analianzisha mpaka wema anamuomba msamaha kwa niaba ya timu. Pesa na akili ya maisha alimzid sana
Nyumba ipi? Ununio?Mtu mzima kisheti kafulia kafukuzwa kwwny nyumba kwa kua anafuga mashoga!
Msanii aliyekuwepo pale ni munalove na sinta tuu...Pole zenyewe za kuogopa kuchambwa. Mahakaman hawakwenda hata siku moja.