Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,604
- 20,085
Siasa ndio ilimmaliza. We kwenda ku join kitu ambacho wengi hawakipendi ila team yako inaforce uonekane inakupendeza unadhani utabaki salama.Mimi nampenda ingawa kuna muda ananichosha...now nyota yake imefifia wema jamaniii...anapost insta comment chacheee
Tatizo siasa,mshauri wake alibug
Angeshtuka.mapema.enzi zile yupo juu angelamba pesa kibao za matangazo kwa account yake hio ila ndo hivyo tena drama zikamnogea