Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Alienda kwa hasira na ile kujiona yeye bora sana ndani ya umaarufu TZ akidhan maisha ya insta ndio reality na follower zake wale. Na mbwembwe zile lazima asahaulike
Siasa ndio ilimmaliza. We kwenda ku join kitu ambacho wengi hawakipendi ila team yako inaforce uonekane inakupendeza unadhani utabaki salama.
Tatizo siasa,mshauri wake alibug