Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Yule mmiliki wa efm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona kuna Watz kibao wapo Vifungoni. Tena wengine same cases lakin wamegongwa miaka kibao tu.Kwa swala la lulu kwa sasa linahitaji kuweka tofauti zao pemben na kuombena mema.
Jela mpasikie tuu. Sio pazuri kabisa
Haa haaa....halafu ana lisauti flani hivi la kilevi amazing[emoji23] [emoji23]Cha pombe hatarii na anavyojua kuropoka hovyo akilewa sasa!!
Tofauti ambazo watu baki ndio tumezishikia bango ili hali hatujui nini haswa kinaendelea baina yao. Ameonyesha utu katika hiliKwa swala la lulu kwa sasa linahitaji kuweka tofauti zao pemben na kuombena mema.
Jela mpasikie tuu. Sio pazuri kabisa
English yenyewe haijui hakyanani..Kweli maana wema anachukulia u lastborn kwao mpka mtaan,enzi zile team yake walikua wanampamba kisa anajua english na kasomea shule nzuri baasi nae kichwa sauti ya kuigiza utoto.
Zama anajua kupika majungu dada yule hatari hatari[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji108] [emoji108] unafanyaje sasa!unasamehe tu life liendelee Yule fitna anaziweza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unajitutumua kuongea na nguo zako za heshima watu wanavua nguo tu. Babe nitakuzalia juju...salaale!hapo hapo mambo yanachange.Inawezekana ujue.. wenzio wanaongea wakiwa watupu kwanini baby asimpe dili hiyo
Yaani mi huwa napita kama sioni,nasonya zangu tu.Wanapenda kuambiwa mazuri tu ndo maana huwa sicomment napitaga kimya kimya
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Basi wanafki wenzie ndo tumeona hivyo mamii
Lulu alizibuka akawa hawezekaniki,mpaka mama ake kipidni cha nyuma akawa akiulizea kwenye magazeti analalamika sana. Lakini toka aingie gerezani kipindi kile alirudi na heshima na kabadilika sana. Akawa na akili,kumzidi wema[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivyo vyakula kama kweli atakua anapelekewa ataneemesha wafungwa wenzie na baadhi ya askari. Kizuri kula na mwenzio ili apate heshima na kuishi vizuri huko
We utambuzi wako upi mkuu?
usinichekeshe mgeni wapi?[emoji23][emoji23][emoji23] msamehe bureWe mgeni wa instagram eeh? kwani kama yeye sio muhusika kimeandikwa matusi hapo?
Peleka huko hko![]()
Hainingii akilini kabisa kama Hamisa anaweza kumuonea huruma Lulu to zis extent...
Balaaaa!muone vile vileZama anajua kupika majungu dada yule hatari hatari