Siamini kama Hamisa Kamaanisha

Ushoga wa wema ni hatari,hadi chumban kwako atataka aingie na kuchukua akitakacho.au ukaishi kwake na mvae sare. Check alivyokua karibu na petit alimvuruga sana esma. Maana petit kutwa nzima kwa wema,kulala,kula etc
Petit si bby wake pia
 
Ila najiuliza kwann hakutulia kwa mond au ndo kusema jamaa mbahili sana. Na mbona kwa majizo hakumuachia hata kamrithi jaman
Lulu anapenda kuonekana tofauti ujue, utakuta deep down alikua anataka sana mtoto na Majizo ila anataka watu wamuone tofauti na Hamisa aliezaa bila ndoa, yeye alikua anataka ndoa kwa Majizo ndo azae
 
Sababu nyingine ni udangaji wa faida wa lulu. Anataman hio bahati aipate yeye
Kwani yeye anaikosa? yeye akipata bwana anahela badala ya kuwekeza anamfuja, mtu unafuga mashoga kila kitu wakutegemee, unabeba kundi la watu hata kumi unatoka nalo woote gharama zao juu yako, bado hujapanga nyumba utaibadilisha kama vile umeijenga wewe. Yule bahati kazipata akili ndo hana
 
Kati ya watu wanafiki Watanzania tunaongoza;ukiondoa Cheni na Muna wengine sinema tu!ila nina uhakika Rufaa ikikatwa kwa hisani ya Bashite wataibuka kwa support
 
Kuna mmoja kanishangaza alikua kila siku lulu lulu my boss ila leo ni full kuweka matangazo hana habareee
My boss wa foot. Wanawatumiaga kupata followers tu wakishapata wanawatupilia mbali kila mtu ahangaike na mzigo wake
 
Ila hamissa kiboko anajua ku-act mimi nilivyo na roho ndogo siwezi kumtunza mtu huku najua namchukulia baba watoto wake
Kwanza nilivyo bahili naanzaje kumpa hela mke mwenzangu si bora zile hela nikamnunulie boxer bwana wetu. Yani najua unapata zaidi bado nikuongezee? unafki ule siuwezi kwanza mtu tunaeshare bwana ukaribu au ushoga wa ninj
 
Na anavyopenda kunyenyekewa sasa kama malkia vile. Angebarikiwa akili angefanikiwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…