Hakuna jina la kiswahli hapo, hayo yote majina ya kizungu.Nilifkiriaga huyu jamaa ni mTZ.maana jina lake limekaa kiswahili swahili
Ukitazama kwa umakini utagundua wazi kua Joshua hakua vizuri,ni kama alibeba kitu fulani akilini mwake na hakua sawa,yule jamaa waje watudie pambano utaona atakavyo chakazwa.Nimeangalia pambano siamini nilichokua nakiona ulingoni ilibidi niangalie chanel kama ni yenyewe na ni LIVE au ni moja ya mapambano ya Joshua ya kitambo. Kumbe ni live na jamaa alikua anakula ngumi si mchezo.. Sikutegemea Ruiz kua mkali vile. Ninavyoona hapa pambano limepangwa kabisa, this is business wazee wa boxing, boxing ya sasa ni imekaa kibiashara zaidi.. kipesa zaidi... nazimisi boxing za zamani mtu unapigwa hadi unachanika chanika uso, boxing ilikua kwa ajili ya reputation na heshima, naliona pambano la marudiano lipo njiani..watu watatu watahusika hapa..Joshua, Ruiz, na Wielder.
Anyway, Ruiz kwa sasa kwenye akaunti yake amekwishawekewa shilingi za kitanzania Bilioni 15, kwa kupigana na kushinda pambano lake MOJA TU. Joshua pamoja na kupigwa atapewa kifuta jasho cha Bilioni 52 za kitanzania kwa PAMBANO MOJA TU.
Asanteni kwa kunisikiliza.
View attachment 1115659View attachment 1115660View attachment 1115661View attachment 1115662View attachment 1115665View attachment 1115667View attachment 1115668View attachment 1115669
Naungana na wewe mkuu, hii nikama ile ya Joseph paker, yani mipango mitupu, Jamaa amepata nafasinyingi tu hajatumia hata moja.Nimeangalia pambano siamini nilichokua nakiona ulingoni ilibidi niangalie chanel kama ni yenyewe na ni LIVE au ni moja ya mapambano ya Joshua ya kitambo. Kumbe ni live na jamaa alikua anakula ngumi si mchezo.. Sikutegemea Ruiz kua mkali vile. Ninavyoona hapa pambano limepangwa kabisa, this is business wazee wa boxing, boxing ya sasa ni imekaa kibiashara zaidi.. kipesa zaidi... nazimisi boxing za zamani mtu unapigwa hadi unachanika chanika uso, boxing ilikua kwa ajili ya reputation na heshima, naliona pambano la marudiano lipo njiani..watu watatu watahusika hapa..Joshua, Ruiz, na Wielder.
Anyway, Ruiz kwa sasa kwenye akaunti yake amekwishawekewa shilingi za kitanzania Bilioni 15, kwa kupigana na kushinda pambano lake MOJA TU. Joshua pamoja na kupigwa atapewa kifuta jasho cha Bilioni 52 za kitanzania kwa PAMBANO MOJA TU.
Asanteni kwa kunisikiliza.
View attachment 1115659View attachment 1115660View attachment 1115661View attachment 1115662View attachment 1115665View attachment 1115667View attachment 1115668View attachment 1115669
Ndio hivo mkuu..usitegemee angelipwa sawa na Joshua...#businessMshindi billion 15. AJ aliepigwa billion 52 mbona inakuwaje hapo ?
Au umejichanganya?
Hahaha mkuu ndio hivo bwana...hivi vitu ni planned kabisa na sababu ni pesa pesa pesa..Naungana na wewe mkuu, hii nikama ile ya Joseph paker, yani mipango mitupu, Jamaa amepata nafasinyingi tu hajatumia hata moja.
Yani mkono wa kulia ulikuwa useless kabisa.
Hata hivyo kwa billion 52 hata Mimi ningekubali nipigwetu.
Huyo chabunene anatafuta jina ili apate mapambano mengine ya heshima nothing else.
Malipo yanapangwa kabla ya mechi na AJ alikuwa ndio bingwa.Mshindi billion 15. AJ aliepigwa billion 52 mbona inakuwaje hapo ?
Au umejichanganya?
Kesho Makonda anamkabidhi milioni 10 uyo Ruiz pale ofisini kwakeShukurani ziende kwa makonda
Kama nabii titoNilifkiriaga huyu jamaa ni mTZ.maana jina lake limekaa kiswahili swahili