Siamini kama Joshua amepigwa ila pesa waliyolipwa si mchezo

Every sport has it dark side mkuu. I like the way you think, yote yanawezekana (kupigwa au kupangwa kwa matokeo. If you wanna know more mjue Don King , ni moja kati ya watu waliouharibu huu mchezo.
Dah umenikumbusha don king
 
Nimeangalia pambano siamini nilichokua nakiona ulingoni ilibidi niangalie chanel kama ni yenyewe na ni LIVE au ni moja ya mapambano ya Joshua ya kitambo. Kumbe ni live na jamaa alikua anakula ngumi si mchezo.. Sikutegemea Ruiz kua mkali vile. Ninavyoona hapa pambano limepangwa kabisa, this is business wazee wa boxing, boxing ya sasa ni imekaa kibiashara zaidi.. kipesa zaidi... nazimisi boxing za zamani mtu unapigwa hadi unachanika chanika uso, boxing ilikua kwa ajili ya reputation na heshima, naliona pambano la marudiano lipo njiani..watu watatu watahusika hapa..Joshua, Ruiz, na Wielder.

Anyway, Ruiz kwa sasa kwenye akaunti yake amekwishawekewa shilingi za kitanzania Bilioni 15, kwa kupigana na kushinda pambano lake MOJA TU. Joshua pamoja na kupigwa atapewa kifuta jasho cha Bilioni 52 za kitanzania kwa PAMBANO MOJA TU.

Asanteni kwa kunisikiliza.

View attachment 1115659View attachment 1115660View attachment 1115661View attachment 1115662View attachment 1115665View attachment 1115667View attachment 1115668View attachment 1115669
Ukitazama kwa umakini utagundua wazi kua Joshua hakua vizuri,ni kama alibeba kitu fulani akilini mwake na hakua sawa,yule jamaa waje watudie pambano utaona atakavyo chakazwa.
 
Screenshot_20190603-175643.jpeg
 
Pesa aliyopata bingwa ni pungufu mara tatu ya pesa aliyopata alieshindwa
 
Mshindi billion 15. AJ aliepigwa billion 52 mbona inakuwaje hapo ?

Au umejichanganya?
 
Nimeangalia pambano siamini nilichokua nakiona ulingoni ilibidi niangalie chanel kama ni yenyewe na ni LIVE au ni moja ya mapambano ya Joshua ya kitambo. Kumbe ni live na jamaa alikua anakula ngumi si mchezo.. Sikutegemea Ruiz kua mkali vile. Ninavyoona hapa pambano limepangwa kabisa, this is business wazee wa boxing, boxing ya sasa ni imekaa kibiashara zaidi.. kipesa zaidi... nazimisi boxing za zamani mtu unapigwa hadi unachanika chanika uso, boxing ilikua kwa ajili ya reputation na heshima, naliona pambano la marudiano lipo njiani..watu watatu watahusika hapa..Joshua, Ruiz, na Wielder.

Anyway, Ruiz kwa sasa kwenye akaunti yake amekwishawekewa shilingi za kitanzania Bilioni 15, kwa kupigana na kushinda pambano lake MOJA TU. Joshua pamoja na kupigwa atapewa kifuta jasho cha Bilioni 52 za kitanzania kwa PAMBANO MOJA TU.

Asanteni kwa kunisikiliza.

View attachment 1115659View attachment 1115660View attachment 1115661View attachment 1115662View attachment 1115665View attachment 1115667View attachment 1115668View attachment 1115669
Naungana na wewe mkuu, hii nikama ile ya Joseph paker, yani mipango mitupu, Jamaa amepata nafasinyingi tu hajatumia hata moja.

Yani mkono wa kulia ulikuwa useless kabisa.

Hata hivyo kwa billion 52 hata Mimi ningekubali nipigwetu.
Huyo chabunene anatafuta jina ili apate mapambano mengine ya heshima nothing else.
 
Joshua akipigwa mechi imefixiwa akishinda anajua.
Wabongo achen kukariri joshua is not invincible bhana
Nyie ndo mnaamin ata jiwe hawez kukosea
 
Mshindi billion 15. AJ aliepigwa billion 52 mbona inakuwaje hapo ?

Au umejichanganya?
Ndio hivo mkuu..usitegemee angelipwa sawa na Joshua...#business
Ndo mana nakuambia hamtaamini kutakua na mapambano ya kujiandaa hapa katikati kabla ya marudiano ..Ruiz nahisi ataandaliwa pambano na Wielder, atakayeshinda kulingana na ilivyopangwa ndio atakuja kupigana na Joshua tena..
 
Naungana na wewe mkuu, hii nikama ile ya Joseph paker, yani mipango mitupu, Jamaa amepata nafasinyingi tu hajatumia hata moja.

Yani mkono wa kulia ulikuwa useless kabisa.

Hata hivyo kwa billion 52 hata Mimi ningekubali nipigwetu.
Huyo chabunene anatafuta jina ili apate mapambano mengine ya heshima nothing else.
Hahaha mkuu ndio hivo bwana...hivi vitu ni planned kabisa na sababu ni pesa pesa pesa..
 
Back
Top Bottom