Joshua sio suguNimebaini matatizo haya kwa Joshua
1.Alimdharau Ruiz
2.Nidhamu yake ya mazoezi imeshuka baada ya kushinda mapambano yote.
3.Misuli mikubwa inamfanya anakuwa mzito kutupa na kukwepa masumbwi
Nimeangalia pambano siamini nilichokua nakiona ulingoni ilibidi niangalie chanel kama ni yenyewe na ni LIVE au ni moja ya mapambano ya Joshua ya kitambo. Kumbe ni live na jamaa alikua anakula ngumi si mchezo.. Sikutegemea Ruiz kua mkali vile. Ninavyoona hapa pambano limepangwa kabisa, this is business wazee wa boxing, boxing ya sasa ni imekaa kibiashara zaidi.. kipesa zaidi... nazimisi boxing za zamani mtu unapigwa hadi unachanika chanika uso, boxing ilikua kwa ajili ya reputation na heshima, naliona pambano la marudiano lipo njiani..watu watatu watahusika hapa..Joshua, Ruiz, na Wielder.
Anyway, Ruiz kwa sasa kwenye akaunti yake amekwishawekewa shilingi za kitanzania Bilioni 15, kwa kupigana na kushinda pambano lake MOJA TU. Joshua pamoja na kupigwa atapewa kifuta jasho cha Bilioni 52 za kitanzania kwa PAMBANO MOJA TU.
Asanteni kwa kunisikiliza.
View attachment 1115659View attachment 1115660View attachment 1115661View attachment 1115662View attachment 1115665View attachment 1115667View attachment 1115668View attachment 1115669
kisa AJ kapigwa basi wamefix sio?? acha uzoba, kakariri na ujuaji
ukimind poa.....ova
Sio uzoba..naongea mawazo yangu...hakuna boxing siku hizi..ni biashara tu kama business zingine..
Boxing inapoteza umaarufu kila siku, mambo sasa yamehamia MMA.
Vyote ni business tu mana hapo anatafutwa mtu wa kupigana na Wielder..wnaajaribu kuangalia kati.ya.ruiz na joshua nani ataleta pesa nyingi zaidi
pamoja na kuweka rekodi yake bado watasema wamefixNdio tatizo la mswahili kwakuwa kapigwa mweusi unapinga na kusema imepangwa. Umemfuatilia mniga tu mapambano yake, je umefuatilia na mapambano na Destroyer? Huyo Mniga wako sio level ya Destroyer.
Acha nikupe recodi fupi ya mwanaume asiekula mayai aka Ruiz Destroyer,,
Boxing record
Total fights 34
Wins 33
Wins by KO 22
Losses 1
Muwe mnaweka na akiba ya maneno. Mwafrika amedundwa ile mbaya ivyo hakuna cha kupangwa wala nini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uyo bondia Ruiz anaipeperusha bendera ya Tanzania vyema kabisa kimataifa
Hongera Magufuli
Mbishe mpasuke ..pambano limepangwa ..kwanza sasa hivi kuna boxing au imekua biashara kama biashara zingine...sasa hivi boxing kuuza sura ..na ngumi zote zile aj hajachanika ..halafu aj ni wa kuanguka anguka vile ...zamani hadi udondoke ilikua ni ishu ..mtu anapigana aweke reputation sio saivNdio tatizo la mswahili kwakuwa kapigwa mweusi unapinga na kusema imepangwa. Umemfuatilia mniga tu mapambano yake, je umefuatilia na mapambano na Destroyer? Huyo Mniga wako sio level ya Destroyer.
Acha nikupe recodi fupi ya mwanaume asiekula mayai aka Ruiz Destroyer,,
Boxing record
Total fights 34
Wins 33
Wins by KO 22
Losses 1
Muwe mnaweka na akiba ya maneno. Mwafrika amedundwa ile mbaya ivyo hakuna cha kupangwa wala nini.
Hahaha vijiwe vya kahawa ndo niniNdio tatizo la mswahili, kwenye football biashara kisa Messi na Cr7 wananyakua kila mwaka Ballon de ore.
Boxing ivyo ivyo ,, mkuu acha kukariri, na epukana na vijiwe vya kahawa. Msomi akiona hicho unachokifikiria atakucheka na kukupuuza.
Ni aibu sana, futi 6 na misuli yote hiyo kapigwa na manyama nyama hayo. Na sasa hivi dawa ni jamaa kusema rematch ichezwe mexico. ila najua itachezwa london maana joshua ni kama arsenal anashinda sana nyumbani, watampa mpunga mrefu jamaa akubali kwenda 02 ARENA.Nimeangalia pambano siamini nilichokua nakiona ulingoni ilibidi niangalie chanel kama ni yenyewe na ni LIVE au ni moja ya mapambano ya Joshua ya kitambo. Kumbe ni live na jamaa alikua anakula ngumi si mchezo.. Sikutegemea Ruiz kua mkali vile. Ninavyoona hapa pambano limepangwa kabisa, this is business wazee wa boxing, boxing ya sasa ni imekaa kibiashara zaidi.. kipesa zaidi... nazimisi boxing za zamani mtu unapigwa hadi unachanika chanika uso, boxing ilikua kwa ajili ya reputation na heshima, naliona pambano la marudiano lipo njiani..watu watatu watahusika hapa..Joshua, Ruiz, na Wielder.
Anyway, Ruiz kwa sasa kwenye akaunti yake amekwishawekewa shilingi za kitanzania Bilioni 15, kwa kupigana na kushinda pambano lake MOJA TU. Joshua pamoja na kupigwa atapewa kifuta jasho cha Bilioni 52 za kitanzania kwa PAMBANO MOJA TU.
Asanteni kwa kunisikiliza.
View attachment 1115659View attachment 1115660View attachment 1115661View attachment 1115662View attachment 1115665View attachment 1115667View attachment 1115668View attachment 1115669
HahahahaaNimegundua wewe unashabikia rangi ya mtu na sio game.
KAPIGWA KIHALALI, hamna pesa wala ndumba hapo. AJ ni kama timu ya taifa ya England. kelel nyiiingi ila hamna kitu. alafu siku hizi hauniamshi eti kuangalia ndindi kama zamani mtu unaamka saa 10 asubuhi kucheki pambano.kisa AJ kapigwa basi wamefix sio?? acha uzoba, kakariri na ujuaji
ukimind poa.....ova
Sasa wewe mkuu ndio unajua boxing ya kipindi hiki..Ni aibu sana, futi 6 na misuli yote hiyo kapigwa na manyama nyama hayo. Na sasa hivi dawa ni jamaa kusema rematch ichezwe mexico. ila najua itachezwa london maana joshua ni kama arsenal anashinda sana nyumbani, watampa mpunga mrefu jamaa akubali kwenda 02 ARENA.
yaani mnataka kusema Ruiz alikuwa part of the plan? kwenye clause nafikiri rematch na AJ ndio first, yaani kama Ruiz angeshinda clause inamtaka atetee ubingwa na AJ.Hahahahaa
Boxing business..
Na vitu vinapangwa mahsusi kabisa..
Ubingwa ukitoka kws ruiz utaenda kwa Wielder..ukitoka kwa Wielder utarudi kwa Joshua mana jina lake linauzika vizuri kipesa
Na waliue kabisa pambavuu sana hili jamaa!! Bahati mbaya timu yake ikagongwa usiku na lenyewe alfajiri likagongwa!!Yani kanyooshwa za ukweli, sasa ngoja akutane na Tyson furry or Wilder watamuuwa kabisa.