Siamini kama Joshua amepigwa ila pesa waliyolipwa si mchezo

Nimeangalia pambano siamini nilichokua nakiona ulingoni ilibidi niangalie chanel kama ni yenyewe na ni LIVE au ni moja ya mapambano ya Joshua ya kitambo. Kumbe ni live na jamaa alikua anakula ngumi si mchezo.. Sikutegemea Ruiz kua mkali vile. Ninavyoona hapa pambano limepangwa kabisa, this is business wazee wa boxing, boxing ya sasa ni imekaa kibiashara zaidi.. kipesa zaidi... nazimisi boxing za zamani mtu unapigwa hadi unachanika chanika uso, boxing ilikua kwa ajili ya reputation na heshima, naliona pambano la marudiano lipo njiani..watu watatu watahusika hapa..Joshua, Ruiz, na Wielder.

Anyway, Ruiz kwa sasa kwenye akaunti yake amekwishawekewa shilingi za kitanzania Bilioni 15, kwa kupigana na kushinda pambano lake MOJA TU. Joshua pamoja na kupigwa atapewa kifuta jasho cha Bilioni 52 za kitanzania kwa PAMBANO MOJA TU.

Asanteni kwa kunisikiliza.

View attachment 1115659View attachment 1115660View attachment 1115661View attachment 1115662View attachment 1115665View attachment 1115667View attachment 1115668View attachment 1115669

Ndio tatizo la mswahili kwakuwa kapigwa mweusi unapinga na kusema imepangwa. Umemfuatilia mniga tu mapambano yake, je umefuatilia na mapambano na Destroyer? Huyo Mniga wako sio level ya Destroyer.

Acha nikupe recodi fupi ya mwanaume asiekula mayai aka Ruiz Destroyer,,

Boxing record

Total fights 34
Wins 33
Wins by KO 22
Losses 1

Muwe mnaweka na akiba ya maneno. Mwafrika amedundwa ile mbaya ivyo hakuna cha kupangwa wala nini.
 
Sio uzoba..naongea mawazo yangu...hakuna boxing siku hizi..ni biashara tu kama business zingine..

Ndio tatizo la mswahili, kwenye football biashara kisa Messi na Cr7 wananyakua kila mwaka Ballon de ore.

Boxing ivyo ivyo ,, mkuu acha kukariri, na epukana na vijiwe vya kahawa. Msomi akiona hicho unachokifikiria atakucheka na kukupuuza.
 
Katika michezo hutokea miujiza.... Ni kama Liverpool alivyompiga Barcelona 4 uefa 2019
 
Ndio tatizo la mswahili kwakuwa kapigwa mweusi unapinga na kusema imepangwa. Umemfuatilia mniga tu mapambano yake, je umefuatilia na mapambano na Destroyer? Huyo Mniga wako sio level ya Destroyer.
Acha nikupe recodi fupi ya mwanaume asiekula mayai aka Ruiz Destroyer,,
Boxing record
Total fights 34
Wins 33
Wins by KO 22
Losses 1
Muwe mnaweka na akiba ya maneno. Mwafrika amedundwa ile mbaya ivyo hakuna cha kupangwa wala nini.
pamoja na kuweka rekodi yake bado watasema wamefix

33 wins
22 KOs
1 losses

unapata wapi uthubutu wa kupinga matokeo at least ungekuwa ushindi wa mezani ningeona logic yao, we mtu anashushiwa konde za haja wote tunaona halafu unasema biashara.
 
Ndio tatizo la mswahili kwakuwa kapigwa mweusi unapinga na kusema imepangwa. Umemfuatilia mniga tu mapambano yake, je umefuatilia na mapambano na Destroyer? Huyo Mniga wako sio level ya Destroyer.

Acha nikupe recodi fupi ya mwanaume asiekula mayai aka Ruiz Destroyer,,

Boxing record

Total fights 34
Wins 33
Wins by KO 22
Losses 1

Muwe mnaweka na akiba ya maneno. Mwafrika amedundwa ile mbaya ivyo hakuna cha kupangwa wala nini.
Mbishe mpasuke ..pambano limepangwa ..kwanza sasa hivi kuna boxing au imekua biashara kama biashara zingine...sasa hivi boxing kuuza sura ..na ngumi zote zile aj hajachanika ..halafu aj ni wa kuanguka anguka vile ...zamani hadi udondoke ilikua ni ishu ..mtu anapigana aweke reputation sio saiv
 
Ndio tatizo la mswahili, kwenye football biashara kisa Messi na Cr7 wananyakua kila mwaka Ballon de ore.

Boxing ivyo ivyo ,, mkuu acha kukariri, na epukana na vijiwe vya kahawa. Msomi akiona hicho unachokifikiria atakucheka na kukupuuza.
Hahaha vijiwe vya kahawa ndo nini

Mbishe mpasuke hakuna boxing wakati huu..bora MMA ..

Tunaita boxing peremba peremba
 
Nimeangalia pambano siamini nilichokua nakiona ulingoni ilibidi niangalie chanel kama ni yenyewe na ni LIVE au ni moja ya mapambano ya Joshua ya kitambo. Kumbe ni live na jamaa alikua anakula ngumi si mchezo.. Sikutegemea Ruiz kua mkali vile. Ninavyoona hapa pambano limepangwa kabisa, this is business wazee wa boxing, boxing ya sasa ni imekaa kibiashara zaidi.. kipesa zaidi... nazimisi boxing za zamani mtu unapigwa hadi unachanika chanika uso, boxing ilikua kwa ajili ya reputation na heshima, naliona pambano la marudiano lipo njiani..watu watatu watahusika hapa..Joshua, Ruiz, na Wielder.

Anyway, Ruiz kwa sasa kwenye akaunti yake amekwishawekewa shilingi za kitanzania Bilioni 15, kwa kupigana na kushinda pambano lake MOJA TU. Joshua pamoja na kupigwa atapewa kifuta jasho cha Bilioni 52 za kitanzania kwa PAMBANO MOJA TU.

Asanteni kwa kunisikiliza.

View attachment 1115659View attachment 1115660View attachment 1115661View attachment 1115662View attachment 1115665View attachment 1115667View attachment 1115668View attachment 1115669
Ni aibu sana, futi 6 na misuli yote hiyo kapigwa na manyama nyama hayo. Na sasa hivi dawa ni jamaa kusema rematch ichezwe mexico. ila najua itachezwa london maana joshua ni kama arsenal anashinda sana nyumbani, watampa mpunga mrefu jamaa akubali kwenda 02 ARENA.
 
Nimegundua wewe unashabikia rangi ya mtu na sio game.
Hahahahaa

Boxing business..

Na vitu vinapangwa mahsusi kabisa..

Ubingwa ukitoka kws ruiz utaenda kwa Wielder..ukitoka kwa Wielder utarudi kwa Joshua mana jina lake linauzika vizuri kipesa
 
kisa AJ kapigwa basi wamefix sio?? acha uzoba, kakariri na ujuaji

ukimind poa.....ova
KAPIGWA KIHALALI, hamna pesa wala ndumba hapo. AJ ni kama timu ya taifa ya England. kelel nyiiingi ila hamna kitu. alafu siku hizi hauniamshi eti kuangalia ndindi kama zamani mtu unaamka saa 10 asubuhi kucheki pambano.
 
Ni aibu sana, futi 6 na misuli yote hiyo kapigwa na manyama nyama hayo. Na sasa hivi dawa ni jamaa kusema rematch ichezwe mexico. ila najua itachezwa london maana joshua ni kama arsenal anashinda sana nyumbani, watampa mpunga mrefu jamaa akubali kwenda 02 ARENA.
Sasa wewe mkuu ndio unajua boxing ya kipindi hiki..
Wengine wanadhan wanaangalia boxing za zama za lenox Lewis .. hahaha..
Hapo ni kweli ulivyosema mpunga mrefu sana utatolewa kwenye re match..na mpunga utakua maradufu zaidi itakapopangwa mechi ya Wielder na Joshua
 
Hahahahaa

Boxing business..

Na vitu vinapangwa mahsusi kabisa..

Ubingwa ukitoka kws ruiz utaenda kwa Wielder..ukitoka kwa Wielder utarudi kwa Joshua mana jina lake linauzika vizuri kipesa
yaani mnataka kusema Ruiz alikuwa part of the plan? kwenye clause nafikiri rematch na AJ ndio first, yaani kama Ruiz angeshinda clause inamtaka atetee ubingwa na AJ.
AJ ile mechi kadindwa freshi tuu wala hakukuwa na kupanga, hizi ni siasa mbofu mbofu za kumtetea AJ.
 
Makampuni ya kubeti watakuwa wametengeneza hela za maana sana.
 
Back
Top Bottom