Siamini kama Joshua amepigwa ila pesa waliyolipwa si mchezo

pamoja na kuweka rekodi yake bado watasema wamefix

33 wins
22 KOs
1 losses

unapata wapi uthubutu wa kupinga matokeo at least ungekuwa ushindi wa mezani ningeona logic yao, we mtu anashushiwa konde za haja wote tunaona halafu unasema biashara.

Hawana hoja za msingi
 
Hahahahaa

Boxing business..

Na vitu vinapangwa mahsusi kabisa..

Ubingwa ukitoka kws ruiz utaenda kwa Wielder..ukitoka kwa Wielder utarudi kwa Joshua mana jina lake linauzika vizuri kipesa

Wewe umejuaje kama ni biashara? Unaeza kutupatia uthibitisho!!
 
Hahaha vijiwe vya kahawa ndo nini

Mbishe mpasuke hakuna boxing wakati huu..bora MMA ..

Tunaita boxing peremba peremba

Wanapouza kahawa, huwa mnadanganyana nini alakini 😁😁 mara utasikia George bush anaundugu na osama.na ninyi mnaamini mnachoambia, ndio haya ya Destroyer na Mzungu mweusi ukaamua kutuletea 😁😁😁 acha basi mkuu!
 
Nyie mnaosema eti ilipangwa mbona hamkusema kabla ya pambano....
Au mbona hamsemi mapambano mengine ya joshua kama lile na yule mrusi kwamba nalo lilipangwa!
 
Na waliue kabisa pambavuu sana hili jamaa!! Bahati mbaya timu yake ikagongwa usiku na lenyewe alfajiri likagongwa!!
Hahahaah hahaahaha...

Mwenzio pambano moja katengeneza bilioni 53 ...na tayari imeshakua confirmed kwamba kuna pambano la marudiano ...pesa itapigwa pia..hakuna kuuawawa wala nini hapo ...mapambano yanatengenezwa kwa ajili ya kupiga pesa
 
Nyie mnaosema eti ilipangwa mbona hamkusema kabla ya pambano....
Au mbona hamsemi mapambano mengine ya joshua kama lile na yule mrusi kwamba nalo lilipangwa!
Yote yanapangwa ..na pambano la marudiano lishapangwa tayari
 
Wanapouza kahawa, huwa mnadanganyana nini alakini [emoji16][emoji16] mara utasikia George bush anaundugu na osama.na ninyi mnaamini mnachoambia, ndio haya ya Destroyer na Mzungu mweusi ukaamua kutuletea [emoji16][emoji16][emoji16] acha basi mkuu!
Hahahahaa pambano la kupangwa wala hatupati shida..mwenzio kala bilioni 53 pambano moja kwa siku moja..
Pambano la marudiano lipo njiani hahahaha kaeni pembeni muone pesa zinavyotengenezwa
 
Hahahahaa pambano la kupangwa wala hatupati shida..mwenzio kala bilioni 53 pambano moja kwa siku moja..
Pambano la marudiano lipo njiani hahahaha kaeni pembeni muone pesa zinavyotengenezwa

Hahaha hayo ni mawazo yako tu mkuu. Ivyo Endelea kuamini ivyoivyo 😁😁
 
Nyie mnaosema eti ilipangwa mbona hamkusema kabla ya pambano....
Au mbona hamsemi mapambano mengine ya joshua kama lile na yule mrusi kwamba nalo lilipangwa!

Sindio hapo! Ingerikuwa joshua ameshinda wala asingesema imepangwa 😁😁 tena angemuanzishia na mada ya masifa kibao.
 
Sindio hapo! Ingerikuwa joshua ameshinda wala asingesema imepangwa [emoji16][emoji16] tena angemuanzishia na mada ya masifa kibao.
Ningemuanzishia mada ya pambano limepangwa .
Na bado mbishe mpasuke ...mapambano yanapangwa ili watu wapige hela matajiri sio nyie maskini mtaishia kuamgalia kwenye mativi yenu na kujifanya mnachambua mchezo mtadhani mnajua kitu
 
Haya mkuu, acha tumalizie kula EID 😁😁
 
KAPIGWA KIHALALI, hamna pesa wala ndumba hapo. AJ ni kama timu ya taifa ya England. kelel nyiiingi ila hamna kitu. alafu siku hizi hauniamshi eti kuangalia ndindi kama zamani mtu unaamka saa 10 asubuhi kucheki pambano.
Kama hauamki ni wewe na stress zako hayatuhusu sisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…