Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Duh!Na waliue kabisa pambavuu sana hili jamaa!! Bahati mbaya timu yake ikagongwa usiku na lenyewe alfajiri likagongwa!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh!Na waliue kabisa pambavuu sana hili jamaa!! Bahati mbaya timu yake ikagongwa usiku na lenyewe alfajiri likagongwa!!
pamoja na kuweka rekodi yake bado watasema wamefix
33 wins
22 KOs
1 losses
unapata wapi uthubutu wa kupinga matokeo at least ungekuwa ushindi wa mezani ningeona logic yao, we mtu anashushiwa konde za haja wote tunaona halafu unasema biashara.
Hahahahaa
Boxing business..
Na vitu vinapangwa mahsusi kabisa..
Ubingwa ukitoka kws ruiz utaenda kwa Wielder..ukitoka kwa Wielder utarudi kwa Joshua mana jina lake linauzika vizuri kipesa
Hahaha vijiwe vya kahawa ndo nini
Mbishe mpasuke hakuna boxing wakati huu..bora MMA ..
Tunaita boxing peremba peremba
Hahahaah hahaahaha...Na waliue kabisa pambavuu sana hili jamaa!! Bahati mbaya timu yake ikagongwa usiku na lenyewe alfajiri likagongwa!!
Hahahahaa pambano la kupangwa wala hatupati shida..mwenzio kala bilioni 53 pambano moja kwa siku moja..Wanapouza kahawa, huwa mnadanganyana nini alakini [emoji16][emoji16] mara utasikia George bush anaundugu na osama.na ninyi mnaamini mnachoambia, ndio haya ya Destroyer na Mzungu mweusi ukaamua kutuletea [emoji16][emoji16][emoji16] acha basi mkuu!
Hahahahaa pambano la kupangwa wala hatupati shida..mwenzio kala bilioni 53 pambano moja kwa siku moja..
Pambano la marudiano lipo njiani hahahaha kaeni pembeni muone pesa zinavyotengenezwa
Nyie mnaosema eti ilipangwa mbona hamkusema kabla ya pambano....
Au mbona hamsemi mapambano mengine ya joshua kama lile na yule mrusi kwamba nalo lilipangwa!
Ningemuanzishia mada ya pambano limepangwa .Sindio hapo! Ingerikuwa joshua ameshinda wala asingesema imepangwa [emoji16][emoji16] tena angemuanzishia na mada ya masifa kibao.
Ningemuanzishia mada ya pambano limepangwa .
Na bado mbishe mpasuke ...mapambano yanapangwa ili watu wapige hela matajiri sio nyie maskini mtaishia kuamgalia kwenye mativi yenu na kujifanya mnachambua mchezo mtadhani mnajua kitu
Mywether hao sio level zake atauwawaWakal wa hizi kazi uku may weather cjui man money hakatushi?
Naomba kujuzwa
Hahahaha salute mkuuKesho Makonda anamkabidhi milioni 10 uyo Ruiz pale ofisini kwake
Kama hauamki ni wewe na stress zako hayatuhusu sisiKAPIGWA KIHALALI, hamna pesa wala ndumba hapo. AJ ni kama timu ya taifa ya England. kelel nyiiingi ila hamna kitu. alafu siku hizi hauniamshi eti kuangalia ndindi kama zamani mtu unaamka saa 10 asubuhi kucheki pambano.
Ndivyo ilivyo, unalipwa kwa tittles ... wa juu atalipwa cha juu.Pesa aliyopata bingwa ni pungufu mara tatu ya pesa aliyopata alieshindwa