THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
Unaumia eti JF imeshuka viwango watu wanaandika andika tu wakat hata wewe unaandika unatukana.1. Mimi binafsi sina Madhaifu.
2. Taasisi kama taasisi haipaswi kuwa na madhaifu kwasababu ni collective responsbility
Taasisi inaajiri WATU zaidi ya 20
Hayo madhaifu yanatoka wapi????
3. Sijui Hiyo timu ya UTOPOLO unayo izungumzia
Na FIFA wenye Mpira wao wanakataza mno upangaji WA MATOKEO.
ADHABU yake ni Mbaya sana.
4. Mimi Sina Upungufu WA akili kama unavyodhani otherwise unanionea wivu kwa uwezo wangu Mkubwa niliopewa na Mungu.
5. Hakuna ALIYESEMA chama kuchezeshwa ama kutochezwshwa Mimi nimezungumzia KUTOLEWA uwanjani kama substitution. Mashabiki MAANDAZI kama wewe HAWATAKI chama atolewe.
FIKICHA AKILI USISHINDANE NA WATU WENYE AKILI TIMAMU CHENZI KABISA QMM
Mtu akikutusi haimanishi na wewe umtusi ukifanya hivo na wewe utaonekana ndio walewale kizazi cha 2000+ kilichojaaa Matusi.