Siamini kama kuna mpumbavu anayeinimi Simba inajilinganisha na Yanga

Siamini kama kuna mpumbavu anayeinimi Simba inajilinganisha na Yanga

1. Mimi binafsi sina Madhaifu.

2. Taasisi kama taasisi haipaswi kuwa na madhaifu kwasababu ni collective responsbility

Taasisi inaajiri WATU zaidi ya 20
Hayo madhaifu yanatoka wapi????

3. Sijui Hiyo timu ya UTOPOLO unayo izungumzia
Na FIFA wenye Mpira wao wanakataza mno upangaji WA MATOKEO.
ADHABU yake ni Mbaya sana.

4. Mimi Sina Upungufu WA akili kama unavyodhani otherwise unanionea wivu kwa uwezo wangu Mkubwa niliopewa na Mungu.

5. Hakuna ALIYESEMA chama kuchezeshwa ama kutochezwshwa Mimi nimezungumzia KUTOLEWA uwanjani kama substitution. Mashabiki MAANDAZI kama wewe HAWATAKI chama atolewe.

FIKICHA AKILI USISHINDANE NA WATU WENYE AKILI TIMAMU CHENZI KABISA QMM
Unaumia eti JF imeshuka viwango watu wanaandika andika tu wakat hata wewe unaandika unatukana.

Mtu akikutusi haimanishi na wewe umtusi ukifanya hivo na wewe utaonekana ndio walewale kizazi cha 2000+ kilichojaaa Matusi.
 
Kuna binadamu wasio na madhaifu?

Kama tunakubaliana kuwa hakuna binadamu asiye na madhaifu,basi ni kweli hata viongozi wa Simba wana madhaifu kama walivyo wa utopolo wanaotumia mbinu za kimafia kupata ubingwa.

Na wewe nadhani ni mmoja kati ya watu sio tu wenye madhaifu bali mapungufu ya akili.

Ni chizi pekee anayeweza kulaumu eti kwa nini Chama anachezeshwa
Mbumbumbu wanaparuana
 
1. Mimi binafsi sina Madhaifu.

2. Taasisi kama taasisi haipaswi kuwa na madhaifu kwasababu ni collective responsbility

Taasisi inaajiri WATU zaidi ya 20
Hayo madhaifu yanatoka wapi????

3. Sijui Hiyo timu ya UTOPOLO unayo izungumzia
Na FIFA wenye Mpira wao wanakataza mno upangaji WA MATOKEO.
ADHABU yake ni Mbaya sana.

4. Mimi Sina Upungufu WA akili kama unavyodhani otherwise unanionea wivu kwa uwezo wangu Mkubwa niliopewa na Mungu.

5. Hakuna ALIYESEMA chama kuchezeshwa ama kutochezwshwa Mimi nimezungumzia KUTOLEWA uwanjani kama substitution. Mashabiki MAANDAZI kama wewe HAWATAKI chama atolewe.

FIKICHA AKILI USISHINDANE NA WATU WENYE AKILI TIMAMU CHENZI KABISA QMM
Subiri mbumbumbu mwenzio aje akujibu maana nyinyi mashabiki wa Mikia mna akili zinazofanana na Mwenyekiti wenu Mangungu.
 
Ukiona mashabiki wa Simba wakilalamikia timu yao,kama una akili nzuri,utakumbuka jinsi mashabiki hao hao walivyoishangilia timu ikiwa imefungwa ama kutoa sare huku wameonesha soka bora kabisa.

Kwa sasa soka la timu limebadilika,wanacheza mpira wa malengo,na kwa hiyo kuna baadhi ya vitu watu wanavyotarajia kuviona hawataviona.

Ile kasi na pressing ya nguvu imepungua,lakini wanapata matokeo.
Soka wanalocheza Simba ni la kibrazil.Soka hili linahitaji watu wazuri wenye vipaji vikubwa mno.Watu ambao akishuti golini hatakiwi kupiga off target.Ni vigumu sana kuwa na wachezaji wengi wa jinsi hii.

Soka la kisasa ni la kasi,maarifa na nguvu.
Maarifa na nguvu peke yake vitakupa ushindi tu kwa timu unayoizidi maarifa.
Kasi husaidia kuvuruga mfumo wa kujilinda wa adui.

Simba ya sasa inashindanishwa na Simba ya zamani na siyo yanga.Ndio maana sio ajabu kusikia wakisema ile Simba ya akina Luis iliyomfunga El Ahly sasa hivi hatuioni
Mpumbavu wa kwanza alikuwa MAMA YAKO MZAZI kwa kumpa PAPUCHI MCHIZ Ukazaliwa ww
 
1. Mimi binafsi sina Madhaifu.

2. Taasisi kama taasisi haipaswi kuwa na madhaifu kwasababu ni collective responsbility

Taasisi inaajiri WATU zaidi ya 20
Hayo madhaifu yanatoka wapi????

3. Sijui Hiyo timu ya UTOPOLO unayo izungumzia
Na FIFA wenye Mpira wao wanakataza mno upangaji WA MATOKEO.
ADHABU yake ni Mbaya sana.

4. Mimi Sina Upungufu WA akili kama unavyodhani otherwise unanionea wivu kwa uwezo wangu Mkubwa niliopewa na Mungu.

5. Hakuna ALIYESEMA chama kuchezeshwa ama kutochezwshwa Mimi nimezungumzia KUTOLEWA uwanjani kama substitution. Mashabiki MAANDAZI kama wewe HAWATAKI chama atolewe.

FIKICHA AKILI USISHINDANE NA WATU WENYE AKILI TIMAMU CHENZI KABISA QMM
Kama hukubali kuwa una madhaifu, basi huo ndio udhaifu mkubwa ulio nao ambao unakuwa classified kwenye magonjwa ya akili.Ni hatari sana kuwa na binadamu anayedhani yeye ni malaika
 
Mpumbavu wa kwanza alikuwa MAMA YAKO MZAZI kwa kumpa PAPUCHI MCHIZ Ukazaliwa ww
Ni hatari sana kwamba vichaa wanatumia mitandao kuonyesha wehu wao.Naamini wewe ni mmoja wa watu wenye zile akaunti mnajiita "kuch kuch mtamu"
 
Back
Top Bottom