Siamini kama leo naumwa kwaajili ya mapenzi

Utakuwa sawa,
leo kunywa maji mengi, lakini pia ukipata machungwa kamua unywe,
Iambie nafsi yako huyo hakufai,utampata atayekubali kila ufanyacho kwa moyo mweupe...sometimes Mungu huondoa mambo mabaya maishani mwetu kwa njia inayoumiza sana kwa kusudi lililo jema na kuu sana!
Don’t stress yourself over a person, jiambie you are better even without her!

 
Ndio manake hyo unatafta sababu isiyo na lawama kwa kosa dogo.
dah! ila wanawake nyie hua mnatuacha kikatili sana tofauti na sisi, mwanaume atakuacha kimya kimya yaani we ndo ujiongeze bt nyie lazma tu mtuumize, why hua mnafanya hivo?
 
Tuma ujumbe wa wana diplomatic waka tatue huo mgogoro..

Mapenzi ni issue nyingine aisee.. Unaweza kufa upande mmoja wa ubongo
 
Acha ungese tafuta hela! Hv ushawah kusikia tajiri kaachwa! Wanaachaga tu
 
We n mwanaume wa dar??
Mikoani hatusemi "Mie"
 
dah! ila wanawake nyie hua mnatuacha kikatili sana tofauti na sisi, mwanaume atakuacha kimya kimya yaani we ndo ujiongeze bt nyie lazma tu mtuumize, why hua mnafanya hivo?
Kwa sababu wanawake huwa mnatupiga matukio huo mda mnaotupiga matukio huwa tunajiandaa kisaikolojia kwa kuwaacha taratibu na sio ghafla so maumivu unakuta yameisha Hadi siku naondoka kabisa nilishajiandaa kukuacha siku nyingi na sijali, tofauti na nyie huwa mnajidai kusumbua watu na tabia zenu tukiwa kimya mwatuona wajinga, pia huwa mnaondoka kimya ili baadae mkiwa na hamu zenu mrudi. Sisi hatuna hyo tukisema basi tumeshajiandaa tofauti na nyie huwa mnafikiria kurudi nyuma
 
sasa mkuu mtu kama anakupenda mfano wa mtoa maada why umuache?
 

Pole sana Mkuu

It’s okay to be emotional as a human being

Love is pain and pain must be felt.
 
I'm nothing without her
 
Inauma mno. Hafu kaniacha kipindi upendo wangu kwake upo103%
Mapenzi mabaya jamani

Mapenzi si mabaya Mkuu, ubaya unauhisi sababu ya kuambiwa sasa basi lakini kimsingi mapenzi ni mazuri

Baada ya muda utapona na maisha yataendelea utapata pia Mpenzi mwingine pia
 
sasa mkuu mtu kama anakupenda mfano wa mtoa maada why umuache?
Huyu mleta mada kaleta one side story hajaongelea makosa na ndio tabia zenu mnajifanya kupenda huku mnafanya makosa waziwazi including cheating, na bado mnasema mnapenda, dada kavumilia yamshinda, na huyu mwenzako baada ya kublokiwa ndo kajua kumbe gelofriend wake wa muhimu
 
Kanunue konyagi unywe! Siuwez kula...idiot
 
Mtu kakumwaga halafu unatuuliza jinsi ya kumrudisha? Pambana na hali yako muda ukienda utapona na ku-move on ila kwa sasa hamna namna hayo maumivu hayana dawa inabidi kuyakabiri tu
 
We ni MC Pilipili?tuanzie hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…