Siamini kama leo naumwa kwaajili ya mapenzi

Siamini kama leo naumwa kwaajili ya mapenzi

Nilikua najiamini kua mm ni mtu mgumu sana haitakuja siku mwanamke aniyumbishe hisia na furaha yangu.

Yet nikakutana na huyu mwanamke asee nilimpenda sioni kama dunia hii kuna mwanamke mzuri zaidi yake.

Omba yasikukute ndugu kupenda sana mwanamke, nimeamini wanaume sisi ni wazaifu sana moyoni. Leo kanimwaga mpenzi wangu nimpendaye, nimelia. Chakula mpaka muda huu hakipandi kabisa nawaza mawazo ya kufa. Naona bila yeye maisha hayaendi wakuu, Nimeshikwa na Homa kali mie sielewi hzi siku nitaishije.

Nisaidie wakuu ushauri nimrudishe nateseka mno Wanawake kueni na huruma basi kwetu tunaowapenda

Nifanyeje jamani?
Mvulana ndio hulialia kama wewe,ungekua mwanaume maisha yanaendelea kama kawa
 
Nilikua najiamini kua mm ni mtu mgumu sana haitakuja siku mwanamke aniyumbishe hisia na furaha yangu.

Yet nikakutana na huyu mwanamke asee nilimpenda sioni kama dunia hii kuna mwanamke mzuri zaidi yake.

Omba yasikukute ndugu kupenda sana mwanamke, nimeamini wanaume sisi ni wazaifu sana moyoni. Leo kanimwaga mpenzi wangu nimpendaye, nimelia. Chakula mpaka muda huu hakipandi kabisa nawaza mawazo ya kufa. Naona bila yeye maisha hayaendi wakuu, Nimeshikwa na Homa kali mie sielewi hzi siku nitaishije.

Nisaidie wakuu ushauri nimrudishe nateseka mno Wanawake kueni na huruma basi kwetu tunaowapenda

Nifanyeje jamani?
Ingiza kidole puani alafu nusa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pole.
Naomba nawe siku moja upigwe chini uumie hivi hivi (ila tu usifikie hatua ya kuwaza kujioff) [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Hata Umomi alianza hivi hivi mwisho wake akajipiga kamba.Mkuu tuliza akili ufikirie kwamba bila huyo kinchenchede huwez kuishi.
Umomi hakujipiga kamba. Yuko hai sema tu alileta drama za kitoto alipoanza kujianzishia uzi kuwa kajipiga kamba kwa kutumia ID nyingine....
 
Nimekumbuka kitu, hizi stress hizi acheni tu... Hiyo siku niku full stressed afu nikapika tambi wee kwani zilipita kooni!! Yan ilikuwa nikila nahisi kama zinaenda kuninyonga [emoji23][emoji23][emoji23]

Ikabidi niagize chakula pendwa ' chips kuku' waii mbona nilikula huku nalia cha ajabu nilivyoshiba nikawa sawa kimtindo na nikalala usingizi mzuri tu
Ukipitia sesheni 4 za hivi utakuja kuzoea tu. Hasa hiki kizazi chenu hiki mh! Mnafikiri mapenzi is just a game. Kazi mnayo wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji23] [emoji23]
Hiyo itakuwa dhambi, nikiwa mkubwa kama nyumba si shughuli sintoiweza.??

I've read between the lines about kuwezana thing, I guess umeiona pahala walaqhi, am I wrong.??
You are right. Niliiona mahali. Uhuru [emoji91][emoji91][emoji91]
 
Pole mkuu,
Binafsi nilimpenda mwanamke flani mazimamazima kipindi flani.
Alipokuja kuniacha Aisee mambo yalienda kombo.Si ufanisi wa kazi,si mahusiano yangu na ndugu,jamaa kiasi kwamba nikiona mwanamke kwa mbali naona kama ni yeye halafu akifika karibu kumbe ni mtu tofauti kabisa.
Nikakonda mpaka nikaenda kupumzika kwa mama yangu.
Akaniuliza shida nini,mbona umepungua hivyo mwanangu?
Nikamwambia niko sawa mama.
Ila hali ilivyozidi kuwa tete nikamwambia mama ukweli.

Akaniambia "mwanangu,jitahidi kumsahau maana kama angekuwa mtu sahihi kwako asingekusababishia maumivu haya,jipe muda.
Muda ni dawa tosha,utamsahau".
Tangu kipindi hicho,nikiingia kwenye mahusiano naingia nusunusu,ili kitakaponuka tu,nisiogope kuanza upya.
JIPE MUDA MKUU,UTAMSAHAU NA UTAPATA WA KUKUFAA.
 
Nilikua najiamini kua mm ni mtu mgumu sana haitakuja siku mwanamke aniyumbishe hisia na furaha yangu.

Yet nikakutana na huyu mwanamke asee nilimpenda sioni kama dunia hii kuna mwanamke mzuri zaidi yake.

Omba yasikukute ndugu kupenda sana mwanamke, nimeamini wanaume sisi ni wazaifu sana moyoni. Leo kanimwaga mpenzi wangu nimpendaye, nimelia. Chakula mpaka muda huu hakipandi kabisa nawaza mawazo ya kufa. Naona bila yeye maisha hayaendi wakuu, Nimeshikwa na Homa kali mie sielewi hzi siku nitaishije.

Nisaidie wakuu ushauri nimrudishe nateseka mno Wanawake kueni na huruma basi kwetu tunaowapenda

Nifanyeje jamani?
Kila. Kitu wapi.. Msinge achana br wanawake wapo wengi utamsahau tu huwezi jua Mungu amekuepusha na nini

Hujui kama sahivi watoto wa 2000's washakua edible??[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Daaah yalishanikuta Kama wewe
Amin nachokuambia huyo mwanamke atarudi mwenyewe akilia

Kuwa karibu na Mungu tuu nakupa siku tano
Utaleta mrejesho hapa
Dunia hii sioni kama kuna mzuri zaidi yake hafu tunaendana kila kitu
 
Back
Top Bottom