Aisee Mimi nilishatoka huko kitambo sana
Pitia thread hiyo chini
TAFADHALI NAOMBA USHAURI WAKO NAUMIA
Mrejesho kuhusu ushauri nilioomba
Kifupi Ni wewe kuamua kufanya mambo yako achana nae na usihangaike kutafuta demu nenda sehemu za kuchangamsha akili kama kuangalia na kucheza Mpira
Kucheza game kupiga story na Wana na mambo mengi ya burudani
Kata mawasiliano Naye
Narudia kata mawasiliano nae
Narudia kata mawasiliano nae
Usumtafute ataendelea kuona unamhitaji sana na ndio itakua furaha take kipindi hiki kuona wewe unateseka narudia tena sitisha mawasiliano nae SITISHA MAWASILIANO NAE
Kumbuka Hali hiyo kuisha itachukua muda kdg Kwa sababu hisia Kali haziondoki mapema na zitaisha endapo ukitambua kwamba hata kabla hujamfahamu na yeye kukufahamu ulikua unaishi na maisha yalienda
Jaribu kufikiri mabaya yake na si mazuri yake